Habari za kazi waungwana.
Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo.
Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai?
Shukrani za awali.
Habari wadau?
Naomba kuuliza, je, inawezekana kuwafuga kuku chotara na kuku wa kienyeji kwa kuwachanganya katika banda moja?
Yaani, unakuwa na banda moja la kuku hao (kienyeji + chotara) ila unawafuga kienyeji wote kwa kuwafungulia nje ndani ya fensi lakini, na jioni unawafungia ndani (Ufugaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.