Ufugaji wa Kuku Chotara na Kienyeji kwa Mijini ni hasara tupu

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,922
Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler.

Mijini hakuna anaye uliza hilo ni la nini na pia mijini demand ya mayai ni kubwa sana kwenye matumizi ya kawaida na viwandani pia.

Kiwanda cha mikate na keki kweli wanaweza hangaika kutafuta mayai sijui ya akienyeji? Na kiwandani wanatukia trei na trei za mayai.

Waoko Keki walio jazani mijini wana muda wa kutafuta sijui mayai ya kienyeji? Jibu ni hapana.

Mahoteli ya Kitalii wana huo muda wa kutafuta mayai ya kienyeji? Kwanza Wazungu hawatumii mayai ya Kuku wa Kienyeji wale wanajua fika ni kwa nini.

Wakaanga Chips ambao ni wengi balaaa kila kona wana muda wa kutafuta mayai ya kienyeji? Na wakaanda Chips ndo watumiaji wakuu wa mayai kwa mijini ukiwato Viwanda na Hoteli za kitalii.

Mayai ya Kienyeji yana demanda vijijini huko kwenye centre za miji midogo midogo sana huko ndo wanaulizana aina ya yai na sababu hata consumption yao ya mayai iko chini sana.

Mijini kuhangaika eti kufuga kukuku wa kienyeji uuze mayai ni hasara tupu, kubwa sana na kupoteza muda mwingi san, Walaji wa Mayai ya Kienyeji mijni ni family level na comercial.

Hata kufuga kuku wa kienyeji uuze nyama jogooo still ni hasara tupu na wastage of time unless uwafuge na usiwe na time nao yaani wasiwe ndo unawatolea macho pale walishe Familia na pia kama una shamba kubwa na wanaishi wenyenyewe huko wakila panzi.

Zile Fuso zinazo leta kuku wa Kienyeji kutoka Mikoani hasa Singida na Dodoma kumbuka wale kuku wamekusanywa kutoka kwa wafugaji sawa na idadi ya wale kuku yaani kama Fuso imebeba lets say kuku 6000 basi hao kuku 6000 wametoka kwa wafugaji 5800 au hata 6000 kabisa. Huwa wanazunguka minadani kukudanya kuku mmoja mmoja kutoka kwa wafugaji mmoja mmoja.

Pia Vijijini wale kuku si kwamba ndo wanawatolea macho hapana wale kuku wanajitafutia tu na mfugaji ana mambo mengine anafanya hasa kilimo na hivyo huwa ana kamata mmoja mmoja na kwenda kuuza mnadani au siku ya soko.

Hao kuku wa Chotara sijui SASSO au KUROILER wale usije jidanganya kuwafuga kwa ajili ya mayai, utalia nao, unless kwa ajili ya mayai ya kuangulisha yaani fertlised eggs, wale Chotara ni wazuri kwa nyama na sio kwa mayai ni hasara tupu kuwafuga kwa ajili ya mayai ya kula kwanza mayai yake ni makubwa makubwa huwezi waambia watu haya ni mayai ya kuku wa kienyeji.

Kwa ajili ya nyama Chotara ni wazuri kwa ajili ya Nyama, ila sasa ila pia nako kuna changamoyo ya soko, Bei ya sh 20, 000/ hadi 25, 000/ ni bei nzuri sana ila hii bei ni kama una muuzia mtu anaye enda kuchinja ale na familia yake, hakuna mtu anaye enda kuuza atakaye nunua jogoo sh 20, 000/ wale hununua sh 9000 hadi 10, 000/ na wale huchukua mzigo mkubwa sana wanaweza chukua hata kuku 50 ila walaji wanao toa pesa nzuri hununua mmoja mmoja.

Hivyo ni Bora kupiga hesabu za vyema za Muda, gharama na Faida kuangalia ufuge Kuku wa mayai au kienyeji? Chotara au Brouler?

NB:Ukifuga eti kuku wa kienyeji Mabandani unawafungia unawaletea chakula ni zaidi ya hasara na ni zaidi ya kupoteza muda
 
Kufuga chotara kwa ajili ya kutotolesha ndo jambo la msingi haswa kwa kuzingatia kipindi tulichonacho cha uhaba wa vifaranga vya layers na broiler na zuio la serikali kwa vifaranga vinavyotoka nje ya nchi kuanzia 30/07/2022.Hii itapelekea kuwa na uhaba mkubwa wa kitoweo hicho pmj na mayai.
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

Tunafanya Delivery Nchi Nzima.View attachment 2308032
Ulichoweka unahisi kipo sahihi na maudhui ya uzi ulioukuta
Muwe mnatafakari kabla ya kutuwekea. Ikizingatia hapa jf hakuna masharti ya kuanzisha uzi ambayo yatakushinda kuanzisha wako
 
Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler.

Mijini hakuna anaye uliza hilo ni la nini na pia mijini demand ya mayai ni kubwa sana kwenye matumizi ya kawaida na viwandani pia.

Kiwanda cha mikate na keki kweli wanaweza hangaika kutafuta mayai sijui ya akienyeji? Na kiwandani wanatukia trei na trei za mayai.

Waoko Keki walio jazani mijini wana muda wa kutafuta sijui mayai ya kienyeji? Jibu ni hapana.

Mahoteli ya Kitalii wana huo muda wa kutafuta mayai ya kienyeji? Kwanza Wazungu hawatumii mayai ya Kuku wa Kienyeji wale wanajua fika ni kwa nini.

Wakaanga Chips ambao ni wengi balaaa kila kona wana muda wa kutafuta mayai ya kienyeji? Na wakaanda Chips ndo watumiaji wakuu wa mayai kwa mijini ukiwato Viwanda na Hoteli za kitalii.

Mayai ya Kienyeji yana demanda vijijini huko kwenye centre za miji midogo midogo sana huko ndo wanaulizana aina ya yai na sababu hata consumption yao ya mayai iko chini sana.

Mijini kuhangaika eti kufuga kukuku wa kienyeji uuze mayai ni hasara tupu, kubwa sana na kupoteza muda mwingi san, Walaji wa Mayai ya Kienyeji mijni ni family level na comercial.

Hata kufuga kuku wa kienyeji uuze nyama jogooo still ni hasara tupu na wastage of time unless uwafuge na usiwe na time nao yaani wasiwe ndo unawatolea macho pale walishe Familia na pia kama una shamba kubwa na wanaishi wenyenyewe huko wakila panzi.

Zile Fuso zinazo leta kuku wa Kienyeji kutoka Mikoani hasa Singida na Dodoma kumbuka wale kuku wamekusanywa kutoka kwa wafugaji sawa na idadi ya wale kuku yaani kama Fuso imebeba lets say kuku 6000 basi hao kuku 6000 wametoka kwa wafugaji 5800 au hata 6000 kabisa. Huwa wanazunguka minadani kukudanya kuku mmoja mmoja kutoka kwa wafugaji mmoja mmoja.

Pia Vijijini wale kuku si kwamba ndo wanawatolea macho hapana wale kuku wanajitafutia tu na mfugaji ana mambo mengine anafanya hasa kilimo na hivyo huwa ana kamata mmoja mmoja na kwenda kuuza mnadani au siku ya soko.

Hao kuku wa Chotara sijui SASSO au KUROILER wale usije jidanganya kuwafuga kwa ajili ya mayai, utalia nao, unless kwa ajili ya mayai ya kuangulisha yaani fertlised eggs, wale Chotara ni wazuri kwa nyama na sio kwa mayai ni hasara tupu kuwafuga kwa ajili ya mayai ya kula kwanza mayai yake ni makubwa makubwa huwezi waambia watu haya ni mayai ya kuku wa kienyeji.

Kwa ajili ya nyama Chotara ni wazuri kwa ajili ya Nyama, ila sasa ila pia nako kuna changamoyo ya soko, Bei ya sh 20, 000/ hadi 25, 000/ ni bei nzuri sana ila hii bei ni kama una muuzia mtu anaye enda kuchinja ale na familia yake, hakuna mtu anaye enda kuuza atakaye nunua jogoo sh 20, 000/ wale hununua sh 9000 hadi 10, 000/ na wale huchukua mzigo mkubwa sana wanaweza chukua hata kuku 50 ila walaji wanao toa pesa nzuri hununua mmoja mmoja.

Hivyo ni Bora kupiga hesabu za vyema za Muda, gharama na Faida kuangalia ufuge Kuku wa mayai au kienyeji? Chotara au Brouler?

NB:Ukifuga eti kuku wa kienyeji Mabandani unawafungia unawaletea chakula ni zaidi ya hasara na ni zaidi ya kupoteza muda
I agree with you, asieelewa hapa bas tena..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom