Ufugaji wa Kuku Chotara na Kienyeji kwa Mijini ni hasara tupu

Kaka!Hilo jina la kuchi ndiyo jina labda geni lakini kuku hao wamekuwepo miaka mingi tu.
Hao kuku ni wageni sana Tanzania.
Hata miaka 70 toka waingizwe nchini hawajatimiza.

Usiwe unabishia vitu usivyokuwa na ufahamu juu yake.
 
Miaka ya 80 huko sisi tunakua,watu wa mikoa ya pwani walikuwa wanaogopa kula nyama za kuku hapo Saranda station kwa madai eti zile siyo nyama za kuku kwa kuwa eti ni kubwa na ndefu!Wakifikiri eti ni nyama za ndege wakubwa wasiowajua wao na kumbe ndiyo hawa kuku ambao leo wanahitwa kuchi eti!.
Hii mbuzi inayojiita kalamu imenishinda Tania.
 
EEeeenHeeeee!

Sasa umebaki kuhololoja tu, huna hoja tena!

Sasa hapa unataka wasomaji wa mada hii waelewe kitu gani?

Hujaeleza hao kuku asili yao hasa ni wapi! Kwa sababu hujui.
Mzee vitu vingi vinaweza kuwa vya asili kwa Mana sio gmo Ila vikawa vya kutoka maeneo mwengine duniani..wewe mbona mbishi Kama shipa
 
Labda nitoe msaada kidogo.hii biashara ni ngum usipoweza kupunguza gharama.pia usipoweza kutambua chanzo sahihi na wakati sahihi wa dawa...sikuanza Jana hii kitu.nilishafuga kuku Aina ya saso takribani kuku 500 na walinifanya kitu hamna. Na nikafuga Tena wakienyeji pure nao walinipelekesha balaa mpaka nakuja kupata formula nimechakaa.hakuna lisilowezekana chini ya just labda roho
Hawa wa kienyeji pure naomba utaalamu kdgo nataka nifuge huku mkoani
 
EEeeenHeeeee!

Sasa umebaki kuhololoja tu, huna hoja tena!

Sasa hapa unataka wasomaji wa mada hii waelewe kitu gani?

Hujaeleza hao kuku asili yao hasa ni wapi! Kwa sababu hujui.
Umeshindwa kujibu maswali hayo niliyokuuliza?.
Najua uwezi kujibu kwa sababu ni maswali toka nje ya yale yote uliyokaririshwa.
Mpaka hapa nimemaliza kukupa tuition.
 
Umeshindwa kujibu maswali hayo niliyokuuliza?.
Najua uwezi kujibu kwa sababu ni maswali toka nje ya yale yote uliyokaririshwa.
Mpaka hapa nimemaliza kukupa tuition.
Sasa umeandika kitu gani hapa!
'Tuition" iko wapi?

Kama mimi nimekaririshwa, naona wewe upo patupu kabisa, huna hili wala lile kuhusu ufugaji wa kuku, na wala hujui asili ya kuku, kama huyo kuchi ni wapi.
 
Jamani tulianza na mjadala wa kuku wa kienjeji humu ndani.sasa Nina kuku miatatu hamsini wa kienjeji pure na pia naiona faida mno
 
Kuku wa kienyeji kuwafuga kwa kulenga zaidi matumizi ya familia kiafya ni bora sana kibiashara watakugharim. Epuka kula broilers fuga nyumbani kuku wa kienyej watoto wako pia wale mayai ya kienyeji. Wale kuku wa wiki6 achana nao.
 
Jamani tulianza na mjadala wa kuku wa kienjeji humu ndani.sasa Nina kuku miatatu hamsini wa kienjeji pure na pia naiona faida mno
Kawadanganye wapumbavu.

Mkuu 'Cleverman324', naona unatafuta tu kunivunjia heshima ili nikujibu vibaya kwa vile unatafuta tu kupotezea watu muda wao.

Huna kitu hapo cha kujivunia, ni hasara tupu kama ni kweli unawafuga hao kuku.

Ninakuomba usinihusishe tena katika ujinga huu wa kujadili kitu kisichokuwepo kiuhalisia, ila kiko mawazoni mwako tu.
 
Hii sio kwa ajili yako.hii ni kwa ajili ya watu wanataka kinufaika na ufugaji.sio Kila kitu ni Cha mtu fulani.stay away stupid
 
Hii sio kwa ajili yako.hii ni kwa ajili ya watu wanataka kinufaika na ufugaji.sio Kila kitu ni Cha mtu fulani.stay away stupid
Ulinijibu mimi, kwa hiyo ulinilenga mimi, huoni kuwa wewe ni mpumbavu kama hata hilo hulielewi?

Hako ka "STUPID", mbona hata Samia anakajua sana, umejifunza kutoka kwake?
Ukiendelea kunifuata fuata sitakuacha, pamoja na kwamba wewe ni mpumbavu tu, asiyejua chochote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom