Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.

Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.

Mnaonaje wakuu hili swala.

Kivumbii
Mabinti zangu walianza Kuala wenyewe miaka 2

#YNWA
 
Nikishamwachisha ziwa Tu silali nae.
Miaka miwili Tu inatosha usiendelee kulala nae tena watoto wa siku hizi wajanja Sana.
 
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.

Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.

Mnaonaje wakuu hili swala.

Kivumbii

Atazoea sana itafika wakati huko chumbani atakuwa anaingia bila taarifa wakati wowote tu hata kama wazazi mpo huko,, tena kuna wakati atahisi kuwa wazazi kuna kitu mnafanya huko atakuja mbio mbio kuwaona 🌝 ni vema mkajenga kisaikolojia tokea mdogo ili awe anaheshimu chumba cha wazazi wake si vyema sana mtoto kwa huo umri kuingia hovyo chumbani kwa wazazi,, wazazi mtakosa uhuru na faragha zenu sababu akizoea hata mtamzuia kwa muda kuwa asiingie chumbani lkn ataingia kwa sababu za zisizo kuwa za msingi
 
Miaka minne anatakiwa awe analala peke yake taa zikiwa on,miaka sita anatakiwa awe analala gizani kama wa kiume miaka mitano awe analala taa zimezimwa ili ajue mapema namna ya kukaza kiume
Kama kulala gizani ndio uwanaume je sisi ambao tumezaliwa na wazazi ambao bila giza hawapati usingizi imekaaje hapo.
 
Miaka minne anatakiwa awe analala peke yake taa zikiwa on,miaka sita anatakiwa awe analala gizani kama wa kiume miaka mitano awe analala taa zimezimwa ili ajue mapema namna ya kukaza kiume

Niliwai kwenda kwa single maza mmoja usiku wa safari,akachemsha maji akaoga mbele ya kijana wake wa miaka 7.
Kile kitu kilinichefua sana..Nilikuwa na usiku mrefu sana siku hiyo niliamsha argument kali sana usiku huo.
Kwanza yule dogo alipokuwa anakaribia pale mama yake alipokuwa anaoga nikamkalipia"TOKA",lile litoto likaangua kilio kikubwa sana.
Mama yake nae akaanza sema" huyu ni mtoto mdogo,usimkalipie hivyo".
Juzi hapa limempata jambo kuhusu huyo mtoto,akaniwasap, nikamchana na kumkumbusha upumbavu wake wa malezi mabovu juu ya mwanae.
 
Mnalala nao mpaka watakapo oa ama kuolewa.

Atajifunzia wapi jinsi ya kutafuta mtoto kama yeye alivyotafuta bila kujifunza kutoka kwa wazazi wake!

Mbona wanyama wanalala na watoto wao muda wote na wanafanya yale mambo.
 
Back
Top Bottom