Mpaka atakapooa au kuolewa.Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hiv ni haki kulala na wazaz..mama yake anangangana kua ni kawaida.
Ana chumba chake kizur na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu hil swala..
Kivumbii
Vijana wa 2000, mliopata watoto 2022, mkipata changamoto kidogo mnatoa milio kibaoooWakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hiv ni haki kulala na wazaz..mama yake anangangana kua ni kawaida.
Ana chumba chake kizur na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu hil swala..
Kivumbii
Matoto yahivyo yanakuaga mataariha, kibaka au shoga..🤨Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hiv ni haki kulala na wazaz..mama yake anangangana kua ni kawaida.
Ana chumba chake kizur na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu hil swala..
Kivumbii
Nilikuona upo kifungoni Beshte yangu....Watu walilala na wazazi wao chumba kimoja mpk wanapata akili...na hawajawahi ona wazazi wao wakifanya....
Ila ni zamani sio sasa...kwa sasa subiri balaa
Asante beshte...ni ule uzi wa selfika nilisema wanaume wengine wangese my dia... 😆 😆 ndicho walichonibania nacho..Nilikuona upo kifungoni Beshte yangu....
Ilikuwa ni nini tena? Pole
Oooooh!!!Pole Kipenzi....Asante beshte...ni ule uzi wa selfika nilisema wanaume wengine wangese my dia... ndicho walichonibania nacho..