Ni mfumo wa mpinga kristo ndio leo hii umempa mwanamke mamlaka ya kumshika na kumkaripia mume wake akichepuka

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,836
36,576
Kwa kasi hii ya Dunia I hope 50 yrs later wanaume ndio watakuwa wanachumbiwa na kuolewa na wanawake.

Ile mamlaka ya Kiungu na kiuongozi ndani ya mwanaume inapotea taratibu.

Inafika wakati sms tu ya kawaida ambayo haina ushahidi wa 100% kuwa mume wake anaishi kimapenzi na mwanamke mwingine mwanamke anapata mamlaka ya kukaripa, kuonya au kumgombeza mume wake.

Haijalishi mwanamke ni mfanyakazi, mfanyabiashara au mama tu wa nyumbani akihisi tu mume wake ana mchepuko mume atanywea na kuomba msamaha.

Wanaume uungu ndani yao wameuvua sasa na kumvalisha Yezebeli.

Ni asili ya mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja. Lakini wanawake hawataki kabisa huo ukweli.

Sheria za ndoa za dini nyingi duniani zinampa ruhusa mume kuwa na wake wawili na kuendelea.

Ila Sheria ya Roman Catholic church ambayo imekopiwa na makanisa mengine imemuondolea mwanaume mamlaka ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Najua walikuwa na sababu na hoja za kibinadamu tu.

Hoja kuu ni hii kwamba mamlaka ya wanawake kugombana, kutoa amri au kukaripia waume zao kwasababu zozote zile wameitoa wapi?

Lucifer Mpinga Kristo ndiye kiumbe pekee anayeweza kumpa mwanamke nguvu za kutoa amri kwa mume wake au kumkaripia
 
mmmh atari sana,,mungu atufanyie wepesi mana dunia inaenda zigzag way
 
kwani mfumo huu umeletwa serikali si dini.acha ujinga kutmbelea imani ambayo kifungu kinasema kwenye sheria serikali aina dini.
 
Sijaona uhusiano wa mpinga kristo na mwanamke kumkaripia na kumuonya mke mchepukaji
 
Kwa kasi hii ya Dunia I hope 50 yrs later wanaume ndio watakuwa wanachumbiwa na kuolewa na wanawake.

Ile mamlaka ya Kiungu na kiuongozi ndani ya mwanaume inapotea taratibu.

Inafika wakati sms tu ya kawaida ambayo haina ushahidi wa 100% kuwa mume wake anaishi kimapenzi na mwanamke mwingine mwanamke anapata mamlaka ya kukaripa, kuonya au kumgombeza mume wake.

Haijalishi mwanamke ni mfanyakazi, mfanyabiashara au mama tu wa nyumbani akihisi tu mume wake ana mchepuko mume atanywea na kuomba msamaha.

Wanaume uungu ndani yao wameuvua sasa na kumvalisha Yezebeli.

Ni asili ya mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja. Lakini wanawake hawataki kabisa huo ukweli.

Sheria za ndoa za dini nyingi duniani zinampa ruhusa mume kuwa na wake wawili na kuendelea.

Ila Sheria ya Roman Catholic church ambayo imekopiwa na makanisa mengine imemuondolea mwanaume mamlaka ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Najua walikuwa na sababu na hoja za kibinadamu tu.

Hoja kuu ni hii kwamba mamlaka ya wanawake kugombana, kutoa amri au kukaripia waume zao kwasababu zozote zile wameitoa wapi?

Lucifer Mpinga Kristo ndiye kiumbe pekee anayeweza kumpa mwanamke nguvu za kutoa amri kwa mume wake au kumkaripia
Na Wanaume wamefumbwa macho kabisa
Ndio wanaopigia kufua haki sawa. Ukimuona Mwanaume aliyepewa hongo ya Ngono Ndio utajua Wenzetu Wanayo silaha ya ajabu sana
Wanaume wanajiondoa Kwenye nafasi wenyewe.
Hebu fikiria fikia na miaka 20 ijayo
Ukijumlishia na Yale mahindi yenye virutubisho
 
Kwa kasi hii ya Dunia I hope 50 yrs later wanaume ndio watakuwa wanachumbiwa na kuolewa na wanawake.

Ile mamlaka ya Kiungu na kiuongozi ndani ya mwanaume inapotea taratibu.

Inafika wakati sms tu ya kawaida ambayo haina ushahidi wa 100% kuwa mume wake anaishi kimapenzi na mwanamke mwingine mwanamke anapata mamlaka ya kukaripa, kuonya au kumgombeza mume wake.

Haijalishi mwanamke ni mfanyakazi, mfanyabiashara au mama tu wa nyumbani akihisi tu mume wake ana mchepuko mume atanywea na kuomba msamaha.

Wanaume uungu ndani yao wameuvua sasa na kumvalisha Yezebeli.

Ni asili ya mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja. Lakini wanawake hawataki kabisa huo ukweli.

Sheria za ndoa za dini nyingi duniani zinampa ruhusa mume kuwa na wake wawili na kuendelea.

Ila Sheria ya Roman Catholic church ambayo imekopiwa na makanisa mengine imemuondolea mwanaume mamlaka ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Najua walikuwa na sababu na hoja za kibinadamu tu.

Hoja kuu ni hii kwamba mamlaka ya wanawake kugombana, kutoa amri au kukaripia waume zao kwasababu zozote zile wameitoa wapi?

Lucifer Mpinga Kristo ndiye kiumbe pekee anayeweza kumpa mwanamke nguvu za kutoa amri kwa mume wake au kumkaripia
mwanaume unakubalije kugombezwa nyumbani kako na mgeni uliyemleta mweenyewe kwa hiari yako
 
Back
Top Bottom