Nchi gani ni nzuri kwa kozi za afya na gharama ya chini kwa mwanafunzi

Vyuo ni vingi shida ni alama ulizopata uwezekano wa scholarship ni 0% labda kama unapesa ukajisomeshe lkn pia vyuo bora kwa credit hizo ni mtihani kusona MD
 
Vyuo ni vingi shida ni alama ulizopata uwezekano wa scholarship ni 0% labda kama unapesa ukajisomeshe lkn pia vyuo bora kwa credit hizo ni mtihani kusona MD
Kwn kusoma MD si kuanzia D3 Yani phy,chem,bios Kwa advance,vyuo kama hubrt,bugando ni hela yako tu kikubwa uwe na kuanzia D kw Kila soma na kumbka D ni 50 advance so sio kizembe kizembe ujue
 
Kwn kusoma MD si kuanzia D3 Yani phy,chem,bios Kwa advance,vyuo kama hubrt,bugando ni hela yako tu kikubwa uwe na kuanzia D kw Kila soma na kumbka D ni 50 advance so sio kizembe kizembe ujue
Wewe wazamani sana !Unazungumza Mazingira ya Tanzania ya miaka 5 iiyopita.Please be updated
 
Wewe wazamani sana !Unazungumza Mazingira ya Tanzania ya miaka 5 iiyopita.Please be updated
Siongelei mambo ya ushindani ,naongelea vigezo vilivyowekwa na tcu guide book kuhusu kusoma udaktari,swala la mtu kuwa na one na kukosa nafasi ni swala la ushindani but vigezo unakuwa navyo ,ndivyo ilivyo Kwa mtu mwenye D3 kukosa udaktari si kwamba Hana vigezo Bali ni ushindani tu ndo umemtoa kupata nafasi,ko sijui maswala ya updated yananihusu Mimi au wew,fanya kupitia TCU guide book afu ndo uniambie nani anatakiwa awe updated,msipende kuzungumza vitu vya story za mitaani wakati Kila kitu kipo mtandaoni.amka kiongozi udaktari vigezo ni kama nesi, pharmacy na maabara
 
Back
Top Bottom