Natamani Sana Rais Samia angemteua Dkt Shukuru Kawambwa nafasi yoyote ile serikalini au Chamani

Ndugu zangu Watanzania,

Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya tu na nusu,Mungu aendelee kumbariki sana.natamani ningepata hata nafasi ya dakika tano kuchota na kupata busara zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na kukata kiu ya mamilioni ya watanzania.
Siku tukiondokana na hizi akili za kubebana na kuteuana tutafika mbali sana!

Kawambwa's watch is retired!
 
Analyse SI tuli mwambia ephen_ kada hawezi acha u chawa aka bisha😁🤣.
Ona Sasa kaendelea Tena🤣🤣
Ninyi endeleeni kuhangaika wakati mimi na ephen kwa sasa tunasubiri tu kugawa kadi za harusi .halafu wewe na mwenzio tutawapa kazi ya kulinda magari ya Waheshimiwa nje.
Mimi na ephen tupo katika bustani moja ya upendo na mahaba motomoto.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete ,nimejikuta moyo wangu unaumia sana kwa namna alivyodhalilishwa na namna alivyotumia hekima,busara ya kiwango kilichovuka ubinadamu wa kawaida. Moyo wangu umesikitika sana,kuhuzunika sana,kupatwa na hasira sana pale nilipoona Mheshimiwa Kawambwa mtu anayelingana na Baba yangu kiumri akidhalilishwa kiasi kile.

Mheshimiwa Kawambwa ameonyesha kuwa yeye siyo binadamu wa kawaida ,ameonyesha utu uzima ni dawa.hekima aliyonayo na aliyoionesha siyo ya kujifunza kutoka darasani bali ni ya kuzaliwa nayo,ni ya kutoka nayo tumboni mwa mama yake,ni hekima aliyopewa na kujaliwa na Mungu wake. Kwa mtu aliyefikia ngazi ya uwaziri tena vipindi viwili ,mwenye kujuana na kufahamiana na viongozi mbalimbali wakumbwa wakumbwa ndani ya chama na serikali ni ngumu sana kumkuta akijishusha kwa kiwango kile na kuwa mtulivu katikati ya udhalilishaji na kutwezwa utu na heshima yake.

Natamani sana Rais Samia angemvuta binadamu huyu mwenye moyo wa kipekee na hekima za aina yake na utulivu wa kiwango cha juu kumsaidia kazi mahali popote pale ndani ya chama au serikalini,iwe ni kwenye mashirika ya umma,vyuoni au hata kwenye bodi mbalimbali. Huyu mtu ni hadhina .bado anazo nguvu za akili na mwili, bado anaishi maisha yenye hofu ya Mungu na yampendezayo Mungu. Mungu amjalie maisha marefu sana Mheshimiwa shukuru Kawambwa.

Naviomba vyombo vya dola viwachukulie hatua kali sana tena sana tena sanaaa kale kakikundi kote kalikofanya udhalilishaji kwa Mheshimiwa Kawambwa na yule mzee mstaafu..hatua kali za kisheria zichukuliwe zitakazo kuwa fundisho kwa wahuni wengine. Hatua ambazo wakitoka huko wakawe walimu kwa wengine.

Pia watu wale waamrishwe kuja hadharani kuomba radhi kwa magoti huku wakibubujikwa na machozi kwa udhalilishaji walioufanya kwa wazee wetu hawa wenye watoto,wajukuu,wakwe,ndugu,jamaa na marafiki. Vijana tuache ujinga na mihemuko ya kijinga,tuache kukurupuka na kujimwambafai .mtu amepata vijisenti kidogo anaanza kudhalilisha watu wengine .ndio maana wakati mwingine inakuwa ngumu sana kwetu vijana kuaminiwa katika mambo makubwa ,kwa kuwa tunatumia moyo na hisia kufanya maamuzi badala ya akili na mantiki.

Mheshimiwa Kawambwa ni darasa tosha na mfano halisia juu na maana ya mtu kuwa na hekima na busara.serikalini na ndani ya chama chetu cha Mapinduzi tunahitaji wazee wenye hekima na busara kiasi hiki,ambao wanajuwa waongee nini na wafanye nini na wakati gani,tunahitaji wazee wa aina hii ambao watatufunda vijana ndani ya chama kimaadili,tunahitaji wazee wa aina hiyo ya Kawambwa ambao hata katika hali ngumu na ya presha na ya udhalilishaji wanabaki watulivu na wenye stamini ya moyo na hisia na kumaliza mambo kwa utulivu.

Mheshimiwa Kawambwa ni mtu na nusu,Mungu aendelee kumbariki sana.natamani ningepata hata nafasi ya dakika tano kuchota na kupata busara zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na kukata kiu ya mamilioni ya watanzania.
Hujabubujikwa na machozi ya uchungu?
 
Sasa mkuu kwa mazingira yale ulitaka afanye nini? Kupigana nao wale ubavu huo hakuwa nao na inaonekana hakuwa na wapambe. Labda kama alikuwa na silaha na akawa vile,
 
Mwenye busara na hekima utamuona maamuzi yake,Vitendo vyake na matamshi wake wakati akiwa na hasira,kuudhiwa, kudhalilishwa pamoja na kushushiwa heshima na kutwezwa utu wake. Mwenye kiburi na jeuri ungeona namna ambavyo angekuwa akitoa maneno na majigambo.lakini Mheshimiwa Kawambwa yeye alikuwa mtulivu tu.

Si unaona yule muhuni aliyekuwa na vibaka wenzake namna alivyokuwa akitamba na kuhemuka kama kichaa au mwendawazimu? Yule ndio mfano halisi wa mtu aliyekosa hekima,busara na adabu pamoja na utulivu wa akili.anafanya mambo kwakutumia hisia na moyo badala ya akili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete ,nimejikuta moyo wangu unaumia sana kwa namna alivyodhalilishwa na namna alivyotumia hekima,busara ya kiwango kilichovuka ubinadamu wa kawaida. Moyo wangu umesikitika sana,kuhuzunika sana,kupatwa na hasira sana pale nilipoona Mheshimiwa Kawambwa mtu anayelingana na Baba yangu kiumri akidhalilishwa kiasi kile.

Mheshimiwa Kawambwa ameonyesha kuwa yeye siyo binadamu wa kawaida ,ameonyesha utu uzima ni dawa.hekima aliyonayo na aliyoionesha siyo ya kujifunza kutoka darasani bali ni ya kuzaliwa nayo,ni ya kutoka nayo tumboni mwa mama yake,ni hekima aliyopewa na kujaliwa na Mungu wake. Kwa mtu aliyefikia ngazi ya uwaziri tena vipindi viwili ,mwenye kujuana na kufahamiana na viongozi mbalimbali wakumbwa wakumbwa ndani ya chama na serikali ni ngumu sana kumkuta akijishusha kwa kiwango kile na kuwa mtulivu katikati ya udhalilishaji na kutwezwa utu na heshima yake.

Natamani sana Rais Samia angemvuta binadamu huyu mwenye moyo wa kipekee na hekima za aina yake na utulivu wa kiwango cha juu kumsaidia kazi mahali popote pale ndani ya chama au serikalini,iwe ni kwenye mashirika ya umma,vyuoni au hata kwenye bodi mbalimbali. Huyu mtu ni hadhina .bado anazo nguvu za akili na mwili, bado anaishi maisha yenye hofu ya Mungu na yampendezayo Mungu. Mungu amjalie maisha marefu sana Mheshimiwa shukuru Kawambwa.

Naviomba vyombo vya dola viwachukulie hatua kali sana tena sana tena sanaaa kale kakikundi kote kalikofanya udhalilishaji kwa Mheshimiwa Kawambwa na yule mzee mstaafu..hatua kali za kisheria zichukuliwe zitakazo kuwa fundisho kwa wahuni wengine. Hatua ambazo wakitoka huko wakawe walimu kwa wengine.

Pia watu wale waamrishwe kuja hadharani kuomba radhi kwa magoti huku wakibubujikwa na machozi kwa udhalilishaji walioufanya kwa wazee wetu hawa wenye watoto,wajukuu,wakwe,ndugu,jamaa na marafiki. Vijana tuache ujinga na mihemuko ya kijinga,tuache kukurupuka na kujimwambafai .mtu amepata vijisenti kidogo anaanza kudhalilisha watu wengine .ndio maana wakati mwingine inakuwa ngumu sana kwetu vijana kuaminiwa katika mambo makubwa ,kwa kuwa tunatumia moyo na hisia kufanya maamuzi badala ya akili na mantiki.

Mheshimiwa Kawambwa ni darasa tosha na mfano halisia juu na maana ya mtu kuwa na hekima na busara.serikalini na ndani ya chama chetu cha Mapinduzi tunahitaji wazee wenye hekima na busara kiasi hiki,ambao wanajuwa waongee nini na wafanye nini na wakati gani,tunahitaji wazee wa aina hii ambao watatufunda vijana ndani ya chama kimaadili,tunahitaji wazee wa aina hiyo ya Kawambwa ambao hata katika hali ngumu na ya presha na ya udhalilishaji wanabaki watulivu na wenye stamini ya moyo na hisia na kumaliza mambo kwa utulivu.

Mheshimiwa Kawambwa ni mtu na nusu,Mungu aendelee kumbariki sana.natamani ningepata hata nafasi ya dakika tano kuchota na kupata busara zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na kukata kiu ya mamilioni ya watanzania.
Acheni ujinga.. kuna vijana wengi tuu mitaani talented
 
Back
Top Bottom