sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 392
- 2,547
Wasalaam!
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration.
Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education.
Kwa sasa nipo free, nimepata wazo na mzuka wa kusoma PhD.
Naomba mawazo yenu, kwanza nini nizingatie kwenye selection ya topic ili nipate fund ya kusoma haswa kusoma nje ya nchi Europe au America?
Issue gani inahitaji sana utafiti kwa hapa Tanzania kwenye eneo la elimu ambalo ni rahisi kuwashawishi watoa fund waone umuhimu wa kunipa nafasi kwenye vyuo vyao na kutoa fund?
Maeneo ambayo nimeyawaza ni Home studying: how parental institutions like SC/ PTAs can support home studying.
ICT: use of ICT in teaching and learning of science subjects: biology subject
Mental health: contemplative practices in schools
Distance learning: improving distance learning experiences haswa kwa makundi kama prisoners
Naomba maoni yenu nifanye hiyo PhD nianze omba mwaka huu.
Haswa kwenye topic yenye kuchukua attention na kukubalika mwenye wazo.