Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,401
- 5,240
pamoja sana.Poa poa kaka 👊
pamoja sana.Poa poa kaka 👊
pamoja sana mkuu.Yeah broh, imeenda. Nikipewa ruhusa nitaiweka jukwaani. Ila for now siruhusiwi kuiweka public
Ni yupi huyo aliefariki Mkuu?Kuna yule jamaa alifariki mwaka jana nje ya nchi jina lake limenitoka ila na yeye pia ana story kali sana.
hao wote nishawamaliza mheshimiwa
wema ni akiba, usiache kutenda wema.Kuna yule jamaa alifariki mwaka jana nje ya nchi jina lake limenitoka ila na yeye pia ana story kali sana.
nishamfuatilia huyu jamaaInsider man
Big upSimulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI Ilikuwa ni muda wa usiku saa tisa kamili ndani ya chumba kikubwa anacholala mheshimiwa Rais Senga ...www.jamiiforums.com