Natafuta mwenza wa maisha

True Man11

Member
Oct 14, 2022
79
109
Habari za majukumu Ndugu zangu,
Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya kwangu changamoto saana. Naomba hata kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa za nimtakaye unisaidie kuniunganisha naye, nitashukuru saana na Mungu atabariki.

Miaka yangu 36
Naishi Dar es Salaama
Muajiriwa sector binafsi
Mimi ni mrefu/Mweusi

Naomba Mwanamke nyenye sifa hizi:-
Miaka 23-32
Aishi Dar es Salaam (Au awe tayari kuja Dar es Salaam au mikoa ya jirani)
mrefu wa wastan (asiwe mfupi)
Elimu yoyote, kabila lolote.
Mengine zaidi naomba tuwasiliane PM au kwa whatsApp 0743 935 757

Asanteni kwa muda wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom