Natafuta mchumba wa kunioa

Hello everyone,

Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha.

sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri.

sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe amewai kuoa, awena kazi au shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, asiwe muongo muongo.

kwa mawasiliano zaidi njoo pm.

only kwa walio serious.
Njoo PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom