Naomben ushauri natak kwenda chuo na nilikuw natak kusoma mechanical engineering na kama kun cozi nyingin bora ninayowez kujiari mnisaidie

Sijui vigezo vyq siku hizi ila physics D na maths D kisha chemistry na bios ndio C, C.. Sijui kama utakubaliwa maana hufikishi pointi 9
 
Kama huajfikisha umri wa miaka 25
Soma
Afya
Kilimo
Education
Civil engineering
Hizo course hapo ndo zinaendesha dunia miaka yote
 
Back
Top Bottom