Evarm JF-Expert Member Aug 30, 2010 1,937 1,403 May 8, 2024 #2 Hiyo inatoa mimba mkuu. Chukua jina la dawa weka kwa google. Soma utajua inatibu nini na inafanyaje kazi mkuu. Acha uvivu
Hiyo inatoa mimba mkuu. Chukua jina la dawa weka kwa google. Soma utajua inatibu nini na inafanyaje kazi mkuu. Acha uvivu
Mwanaumke wa mithali JF-Expert Member Apr 10, 2024 471 964 May 8, 2024 #3 sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Inapatikana pharmacy, Inatolewa kwa chet kutoka kwa dactar Inatumika leba kumsaidia mama kupush,kuongeza uchungu na kuzuia kupoteza damu nyingi after delivery Lakini ni dawa ya vidonda VYA tumbo, Huku mtaani wameibadilisha matumizi wanawake wanatumia kufanya abortion
sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Inapatikana pharmacy, Inatolewa kwa chet kutoka kwa dactar Inatumika leba kumsaidia mama kupush,kuongeza uchungu na kuzuia kupoteza damu nyingi after delivery Lakini ni dawa ya vidonda VYA tumbo, Huku mtaani wameibadilisha matumizi wanawake wanatumia kufanya abortion
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 63,186 158,792 May 10, 2024 #4 Duhhhh!!. Kwa Maelezo hapo inatoa mimba Hatari sana Cc Smart911
lufakale JF-Expert Member May 13, 2023 252 384 May 10, 2024 #5 sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... 35000 packet ya vidonge 40
macho_mdiliko JF-Expert Member Mar 10, 2008 22,393 41,058 May 10, 2024 #6 sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Umeikuta kwenye pochi la mkeo au girlfriend wako nini? Au pengine mwanao?
sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Umeikuta kwenye pochi la mkeo au girlfriend wako nini? Au pengine mwanao?