Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change 2023

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,025
Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE

Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2023

Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2023' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha Andiko pamoja na sehemu ya kuweka Chapisho

Andika Kichwa cha chapisho lako cha kuanzia maneno manne kisha weka Andiko lako lisilopungua maneno 700 na lisizidi maneno 1000 kwenye uwanja wa kuandikia. Kama una Viambatisho vingine kama Picha Mnato au Video', bonyeza sehemu iliyoandikwa 'Attach Files' kisha weka Kiambatisho chako.

Kwenye sehemu ya 'Tags; weka maneno yasiyozidi 10 yanayohusiana na andiko lako na uyatenganishe kwa alama ya 'Mkato'

Ukimaliza Bonyeza 'Post Thread' ili kuchapisha.

Tazama video hii hapa chini

Video: Hatua za kuweka andiko

Video: Vigezo na masharti ya shindano

Kama bado hujui namna ya kujisajili kuwa Mwanachama wa Jamiiforums soma:
- SoC03 - Jinsi ya kujisajili kuwa mwanachama wa Jamiiforums.com

Kwa Maelezo zaidi kuhusu Shindano hili Soma:
1. SoC03 - Uzinduzi wa awamu ya 3 wa Shindano la Stories of Change
2. SoC03 - Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023
 
Mshindi anapatikana kwa Kura za wanachama wa jamii forum pekee au kuna vigezo vingine vya ziada vitatumika?
 
Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE

Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2023

Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2023' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha Andiko pamoja na sehemu ya kuweka Chapisho

Andika Kichwa cha chapisho lako cha kuanzia maneno manne kisha weka Andiko lako lisilopungua maneno 700 na lisizidi maneno 1000 kwenye uwanja wa kuandikia. Kama una Viambatisho vingine kama Picha Mnato au Video', bonyeza sehemu iliyoandikwa 'Attach Files' kisha weka Kiambatisho chako.

Kwenye sehemu ya 'Tags; weka maneno yasiyozidi 10 yanayohusiana na andiko lako na uyatenganishe kwa alama ya 'Mkato'

Ukimaliza Bonyeza 'Post Thread' ili kuchapisha.

Tazama video hii hapa chini

View attachment 2624848
Video: Hatua za kuweka andiko

View attachment 2624859
Video: Vigezo na masharti ya shindano

Kama bado hujui namna ya kujisajili kuwa Mwanachama wa Jamiiforums soma:
- SoC03 - Jinsi ya kujisajili kuwa mwanachama wa Jamiiforums.com

Kwa Maelezo zaidi kuhusu Shindano hili Soma:
1. SoC03 - Uzinduzi wa awamu ya 3 wa Shindano la Stories of Change
2. SoC03 - Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change

Safari maridadi juu ya mafanikio
Karibni kushare
 
Kwa mwaka huu wa 2024 hili shindano linaanza lini?
 
Habari zenu nyote..Mbona nikitaka kupost ujumbe wangu menye hiyo mnayo ielekeza siipati au ndiyo mda wake umekwisha?
 
Back
Top Bottom