Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,227
jitahidi bana ufike Rockcity japo mara moja katika maisha yako..Nilikua sijui kumbe arusha ni kijijin kabisa huwez linganisha na mwanza
jitahidi bana ufike Rockcity japo mara moja katika maisha yako..Nilikua sijui kumbe arusha ni kijijin kabisa huwez linganisha na mwanza
Nitajitaid ndugu yangu elungata nifike kolomije ni wap kwa hapo nioneshe ghoropha la kishimba na gwajima na bashite na shigongojitahidi bana ufike Rockcity japo mara moja katika maisha yako..
Si mnapenda kulinganisha hicho kimji na Geneva ya Afrika acheni sifa za kijinga nyie.Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
waya waya waya......
Hivi Rocky city unaweza fananisha na takataka ya wanywa viroba hahaaaa!!!Hivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
Hivi jiji kubwa ikitoka dar ni wap vile .....??? Maana usiweke ligi tu hapa ...na ukijibu nambie baada ya dar ni jiji gani lilifatia mupewa sifa ya jiji .Nilikua sijui kumbe arusha ni kijijin kabisa huwez linganisha na mwanza
Hiyo iko misungwiKolomije ni wap kwa hapo mkuu
Karibu ule sangara na satomwanza ni pazuri kuishi kuliko arusha.
Acha ligi za kijinga weweSi mnapenda kulinganisha hicho kimji na Geneva ya Afrika acheni sifa za kijinga nyie.
Bora umempasha huyo kubwa jingaNdio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?