Muundo wa muungano ndio KERO kubwa namba moja ambayo haizungumziwi

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,645
5,156
Imagine, zilungana Zanzibar na Tanganyika kuunda seeikali ya Muungano, lakini zanzibari ime retain taifa lake wakiwa na katiba, raisi, wimbo wa taifa, bunge, Baraza la mawaziri, wimbo wa taifa, bendera huku Tanganyika ikifutika. Hilo ndio KERO kuu isiyo ongelewa
 
Huu muungano umekaa kimagumashi.

Hakuna Mtanganyika anaetamani huu Muungano uendelee.

Kila siku changamoto za Mtanganyika kuishi au kufanya shughuli zake Zanzibar zinazidi kuongezeka.

Hakuna Mzanzibari anayeishi Tanganyika anatamani huu muungano uvunjike.

Unaweza gundua tofauti hapo, Tunayowatendea sio Wanayotundea.

CCM ina maslahi gani na Zanzibar?
 
Ni kweli kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika lkn ajabu ni kwamba wazanzibari ndiyo wananufaika na muungano huu.
 
Huu muungano umekaa kimagumashi.

Hakuna Mtanganyika anaetamani huu Muungano uendelee.

Kila siku changamoto za Mtanganyika kuishi au kufanya shughuli zake Zanzibar zinazidi kuongezeka.

Hakuna Mzanzibari anayeishi Tanganyika anatamani huu muungano uvunjike.

Unaweza gundua tofauti hapo, Tunayowatendea sio Wanayotundea.

CCM ina maslahi gani na Zanzibar?
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom