BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,125
- 10,809
Yuko wapi huyu mwamba alifanya jahazi kuwa kipindi kizuri sana ni muda sijapata kumsikia popote pale..
Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
Kivipi mkuu
Kahamia kwenye Tv kipindi kinaitwa sentroMimi namuulizia Barbrah Hassan jamani sijui yuko wapi siku hizi.
Mimi namuulizia Barbrah Hassan jamani sijui yuko wapi siku hizi.
Sijamuona kwenye hiyo TV kitambo sanaYupo Clouds TV
Kahamia kwenye Tv kipindi kinaitwa sentro
Yupo Clouds TV
Yuko wapi sasaAlichaachana na clouds
🚮🚮🚮🚮🚮
Yuko wapi sasa
Ya kweli hayo??kama kweli hiyo radio mikoani haishiki tunamkubari sana huyo dada kwa watu waliopo mikoaniFuraha FM
musa hussein ni dada?Ya kweli hayo??kama kweli hiyo radio mikoani haishiki tunamkubari sana huyo dada kwa watu waliopo mikoani