Musa Hussein yuko wapi?

Yupo bado jahazi. Ila tu alikua kwenye maandalizi ya documentary flani kuhusu utalii, yupo na watu wa tanapa toka march. Hata gadner walikua pamoja huko kabla ya kurudi kqa ugonjwa na kulazwa.
images (82).jpeg
 
Yupo ila huwa hanunui bundle mitandaoni anaonekana kwa manati sana siyo kama wengine
 
Hivi ukiwa mtangazaji wa jahazi lazima uwe mlevi?
Do you want a beer?
Yeeees
Do you want a beer?
Yes
We want a beer
Coz beer
Makes me talk with everybody
Beer I love you, don't tell somebody
Beer I love you, don't tell somebody
Beer I love you, don't tell somebody
Beer I love you, don't tell somebooooody...
Do you want a beer?
Yes
Jah ha zi, Tu tu n tu tutu.... Tutu
Klaaaaauds efem!!!
 
Atuuh..Baba Hashbangangaa..Huyu jamaa ni mtangazaji bora sana..kinachonivutia kwake ni Uwezo wa Kujenga hoja na kuuliza maswali muhimu..ukimsikiliza lazima ucheke..Na ni bonge moja la MC...Jamaa anajua arudi bhana Jahazini..Ana'post yuko Mbuga za wanyama na Tanapa sijui ndo kahamia uko may be.
 
Atakua voice over artist katika ile documentary yupo jahazi bado. Project ile ina watu wa clouds na wasafi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom