Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Muogope Mungu katika kila unalofanya. Unataka kumuua na kuutoa uhai wa mwanadamu mwenzako kisa nini? Je? Una ushahidi wa yanayosemwa? Mtu hauliwi pasi na haki. Na wewe utawindwa tu.
Na mimi ningekuwa kwenye system ningekuzuia kufanya jambo la ajabu lenye kutia aibu. Mpaka pale itakapothibiti hakuna budi jambo flani kufanyika.

Yani huyu jamaa Emanueli misalaba anaongea bila ushahidi wowote, kisa nini! Mtu mweupe au! Waafrika wangapi mafisadi lakini je! Alishawahi kufikiria hilo la kuuwa! Kuwa makini sana emanueli, kama kigezo ni RACE yake basi acha ubaguzi acha chuki
 
Attachments

  • FB_IMG_1687803337846.jpg
    FB_IMG_1687803337846.jpg
    51.2 KB · Views: 5
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.

Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.

Rostam ni king maker, bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya ambapo sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.

Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.

Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.

Lakini likaibuka DP World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?

Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.

Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.

Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.

Ahsanteni!
 
Attachments

  • 274A6B3B-9E62-4AD3-854C-575C00E09401.jpeg
    274A6B3B-9E62-4AD3-854C-575C00E09401.jpeg
    81.5 KB · Views: 4
Mtapiga kelele weeeee! Mwisho mtasikia RA kaingiza mzigo kama B30 pale yanga watu nywiiiii! Mmesahau manji alitumia gia gani wakt akiwa na kashfa ya NSSF?
 
Walivyoanza kuongea nilifikiri ni tamko la kawaida la kibiashara.Lakini walipomaliza tamko la kuanzisha mradi wa umeme Zambia ndipo Kubenea akamuuliza Rostam swali ambalo baadaye nikabaini kuwa lilikuwa limepangwa.
Lilikuwa limepangwa kwa sababu Rostam alikuwa anajibu kwa kusoma kwenye karatasi aliyokuwa nayo mkononi.
Nilicheka sana kwa futuhi hiyo.
 
Dr Slaa ameingia choocha kike nakumbuka Mtikila alimuita Rostam fisadi basi Rostam akaitisha press akaonesha petty cash voucher Mtikila alichukuwa millioni 10 kwa Rostam.

Sikubaliani na matendo ya Rostam lakini kwa hili la Dr Slaa namuunga mkono, wanafki na wasaliti ni lazima wasemwe, hiki kizee Dr Slaa ana tabia ya kujiona ni mtakatifu na clean man wakati hana lolote.

Alivyokuwa Katibu mkuu Chadema aliidhinisha malipo alipwe hawara yake Josephine pesa kibao eti za kutengeneza software, yani kazi ya software ya Chama tenda anampa demu wake.
Matola na wewe usiwe mjinga mambo ya demu wa Slaa na mambo ya bandari yetu wapi na wapi wewe, hapa tujadili mambo ya bandari na matajiri matapeli wanavyotuiingiza mkenge wewe unakuja na porojo za mdemu wa Slaa, si ajabu watu wa nje wanatuona akina Mangungo.
 
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.

Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.

Rostam ni king maker, bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya ambapo sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.

Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.

Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.

Lakini likaibuka DP World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?

Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.

Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.

Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.

Ahsanteni!
 
Someni hapa
 
Attachments

  • 1ACED278-C750-4278-8DB4-1E5E9ED0756A.jpeg
    1ACED278-C750-4278-8DB4-1E5E9ED0756A.jpeg
    58.4 KB · Views: 13
  • 15F6BD5F-BEC9-4543-896E-040F6A930CFC.jpeg
    15F6BD5F-BEC9-4543-896E-040F6A930CFC.jpeg
    62 KB · Views: 12
  • 0648334F-6094-4FC8-B08D-3D7D00F7CD49.jpeg
    0648334F-6094-4FC8-B08D-3D7D00F7CD49.jpeg
    55.5 KB · Views: 12
  • 840209BF-13FD-4867-899D-D6D60CBE27B3.jpeg
    840209BF-13FD-4867-899D-D6D60CBE27B3.jpeg
    71.8 KB · Views: 12
Back
Top Bottom