Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Dr Slaa ameingia choocha kike nakumbuka Mtikila alimuita Rostam fisadi basi Rostam akaitisha press akaonesha petty cash voucher Mtikila alichukuwa millioni 10 kwa Rostam.

Sikubaliani na matendo ya Rostam lakini kwa hili la Dr Slaa namuunga mkono, wanafki na wasaliti ni lazima wasemwe, hiki kizee Dr Slaa ana tabia ya kujiona ni mtakatifu na clean man wakati hana lolote.

Alivyokuwa Katibu mkuu Chadema aliidhinisha malipo alipwe hawara yake Josephine pesa kibao eti za kutengeneza software, yani kazi ya software ya Chama tenda anampa demu wake.
Umenikumbusha ya mtikila

, alikuwa anamsiliba RA hapo hapo

Anakwenda kumbom mizinga

Ndomana siku nasema wabongo wanajiita wazawa watafute nguvu ya pesa na wao waweze kushikilia rasilimali za nchi,bila hivyo kila siku tutakuwa tunalialia

Ova
 
Mfanyabiashara nguli kutoka tanzania

Mfanyabiashara gani tena mwingine kutoka tanzania angeenda huko

Ova
Kampuni zake zinachangia Pato la Taifa Kwa kiasi Gani ktk kulipa KODI?

Kampuni za Rost tamu zinaongoza Kwa ulipaji Kodi nchini?
 
Rostam anaeleweka....Kwani wakati ule wa mikataba ile ya upigaji wa Tanesco, na zile kampuni za kufua umeme - huyo jamaa si alikuwepo pia? na mmoja wa mdogo wake akakamatwa? Tunajua yote hayo...
 
Amekosa hoja, hakuna hojaya IGA isyojibika ndani ya vifungu vya IGA yenyewe. Sasa hasira zake, ndiyo anishambulia mimi. Mimi nikaendelea kumpa somo tu la Hao watu anaowfikiria yeye kuwa ni wezi au majambazi.

Unajuwa mtu mwizi siku zote anaona watowote wezi kama yeye.

Wafalme wa Dubai wameijenga nchi yao kwa biashar tu. Hakuna zaidi, mtu anaefanya biashara na dunia nzima leo akakudhulumu wewe Tanzania, ajiharibie jina lake lote kwa lipi zaidi?

Hao sisi ndiyo tuliwafata, tunawahitajji wao zaidi kuliko wanavyotuhitaji. Wenyewe tumeshindwa, TICTS kashindwa,sasa hakuna ujanja , tuwape watuoneshe kazi za banadari zinavyofanywa.
Wadubai hatari sana

Wanaijua vizuri sana biashara

Hiyo dubai haina madini, ardhi ya kilimo,mafuta nk lkn angalia walivyotusua....

Ova
 
Muogope Mungu katika kila unalofanya. Unataka kumuua na kuutoa uhai wa mwanadamu mwenzako kisa nini? Je? Una ushahidi wa yanayosemwa? Mtu hauliwi pasi na haki. Na wewe utawindwa tu.
Na mimi ningekuwa kwenye system ningekuzuia kufanya jambo la ajabu lenye kutia aibu. Mpaka pale itakapothibiti hakuna budi jambo flani kufanyika.
Wivu,umaskini utatusumbua sana wabongo
Huyo anataka kuchukua uhai wa mtu

Ova
 
Dp world apewe bandari afanye kazi
Wenzetu wana ufanisi mkubwa,labda na nyie mtajifunza hapo

Ova
Tazama nyumba ya Jirani.

Yupo Jirani mwenye pesa kuliko wewe, akili kukuzidi,

Nenda kwanza kamkabidhi tajiri huyo mkeo na familia Yako kwanza ndipo uje tujadili HOJA zenye Maslahi ya nchi.

Bandari ni URITHI wetu.

HAIUZWI.
 
Back
Top Bottom