Marekani kuiwekea Vikwazo mirambo Kampuni ya Rostam Aziz?

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,497
3,462
Salaam Wakuu,

Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran.

Inadaiwa Kampuni ya Mirambo imeingiza gesi hiyo kutoka Iran na kuingiza Zanzibar.

Hivyo Benki za Tanzania zinazoshirikiana kwa Biashara ya Gesi na Mirambo wanaweza kukutana na rungu la Marekani.

Inadaiwa Gesi imeingizwa Tanzania kimagendo. Je, Marekani ina jeuri ya Kuiwekea Vikwanzo Kampuni ya Tajiri Mkubwa wa Afrika Mashariki Rostam Aziz?

Je, kitendo cha Rais kushirikiana na Kampuni inayotuhumiwa kwa Uraghai, inatuweka wapi kama taifa?

Pia soma: Je, Serikali ya Tanzania ni Mbia wa Kampuni ya Taifa Group?

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu lishiriki na kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa ushirikiano baina ya Kampuni ya Taifa group(Rostam Aziz) na Kampuni kubwa ya Uwekezaji ya Marekani ya Northern Feed & Company ndani ya Ikulu ya Tanzania.
20220807_171919.jpg

Taifa Gas On The Spot Over Fraudulent Dealings | Kenya Insights

August 1, 2022

Taifa Gas, a company registered in Tanzania and beneficiary owner of LPG/C Mirambo have instructed their vessel to perform four ship to ship transfers with LPG/C Falcon offshore Zanzibar territorial waters, in 2022 on April 9th, April 16th, April 23rd and April 30th.

The purpose of these loading operations is to supply Tanzania with LPG, therefore following each cargo transfer LPG/C Mirambo came to discharge its cargo in Dar es Salaam port. During each discharge in Dar es Salaam port, the cargo origin declared by Taifa Gas was Sohar, Oman.

Thanks to the attached letter from OQ Trading Limited, it has come to our attention that the origin of cargo has been wrongly declared by Taifa Gas, to Tanzanian customs, banks and end-users. This is a highly fraudulent practice.

Furthermore, a thorough analysis of LPG/C Falcon itinerary shows that they have purposedly turned off their AIS transmission while in Persian Gulf waters, in order to hide their position.

This is the typical way of operating for ships that are trying to hide the world that their are loading cargoes from Iran.

For the record, Iranian LPG is under sanctions from the United States.
It means that any person or company entering into a trade involving LPG from Iran may be added to the US watchlist of US office of Foreign Assets Control and may be banned from any transaction in US dollars.

Therefore not only Taifa Gas, but also Tanzanian banks, LPG retailers, port operators, and broadly Tanzanian LPG stakeholders might have to bear the consequences of Taifa Gas wrongdoings.

The masters development comes at a time when Kenya’s energy regulator declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz, to set up a gas plant at the Mombasa port, citing risks to the environment posed by the 30,000-tonne gas handling facility.

Kenya receives a significant share of its cooking gas from Tanzania through the border towns of Namanga and Loitoktok raising concerns that the sanctioned oils from Tanzania could having its ways to Kenya’s households.
 
Haya ndio mambo tuliyoyaona yanaweza kuja kutokea baada ya kumuona Rais akishuhudia utiliwaji saini wa mikataba ya kampuni Binafsi.

Haya sasa kujiondoa hapo. Kuna shughuli pevu.
 
Kenyans ni nyang'au sana, ujue wanampiga sana vita Mr. Rostam Aziz sbb anataka kuwekeza LPG Plant kubwa sana kuliko zote Kenya, yaani hata uki combine gas amount ya kampuni zote za Kenya, hazikuti LPG plant Mr. Rostam Aziz anataka kufungua Mombasa, so hawa Kenyans ni kuwa nao makini sana, hii yote ni kumchagua Mr. Rostam ili akose wafadhili na ashindwe kuwekeza Kenya na kumchafua.

So, Watanzania tuwe makini sana na wakenya, i call them nyang'au kabisa, ktk business ni wahuni sana hao, ila hawatatuweza milele, wametuchafulia sana kwenye utalii, ila wameshindwa sasa, Royal Tour ya Mama yetu Samia imewaumbua wakenya vibaya sana..

Hivyo Mr. Rostam hawatamuweza, let them talk what they want.
 
Rostam ni Afisa Kipenyo pandikizi wa Marekani East and Central Africa.Hapo hamna kesi Mkuu.Relax!
Ukisema hivi, kama ni kweli nazidi kuamini kuna level za biashara inapaswa a very tough connections, vinginevyo vikwazo vinakua vingi sanaaa tutaishia huku chini na biashara za kula, kunywa na kuhudumia na kusomesha watoto..

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom