v0il0r
Member
- Jan 23, 2018
- 24
- 26
Habari,
-> nipo dar (kibamba)
Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline
Biashara ya magari ya kununua, kupata mteja, connection za madalali, ninauzoefu... Kwa anayehtaji mtu serious wa kazi za kuuza, kutunza magari yard, kutafuta mteja na kazi zingine za magari. Nitumie ujumbe PM