Mke wangu karudi kwenye dini yake

watu wengi hua wanabadili tu dini ili kufunika kombe mwanaharamu apite hapa nazungumzia wanaobadili kwaajili ya ndoa wapo kibao tu hawafurahii watoto wao pia kufuat imani yao mpya ila wengi huendelea kugonga kitimoto na wengine huenda kanisani kisirisiri na wengine wazwaz kama mkeo
Ahaaaa
 
Habari wakuu,

Naombeni mnishauri.

Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.

Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.

Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.

Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.

Hebu nisaidieni.
piga chini
Screenshot_20240416-130126.jpg
 
watu wengi hua wanabadili tu dini ili kufunika kombe mwanaharamu apite hapa nazungumzia wanaobadili kwaajili ya ndoa wapo kibao tu hawafurahii watoto wao pia kufuat imani yao mpya ila wengi huendelea kugonga kitimoto na wengine huenda kanisani kisirisiri na wengine wazwaz kama mkeo
shemeji yetu anafuata mdudu
Screenshot_20240416-130126.jpg
 
Kwa miaka yangu mingi nimeishi, sijawahi kuona mwanamke aliyebadili dini toka ukristo kwenda uislam asijute, huwa wanafika kipindi wanajuta na kujilaumu. wanawake wa Kikristo kuweni makini, hakuna ambaye hajawahi kuharibikiwa alipobadili dini kuwa muislam, utajuta tu, ni suala la muda tu.
Unaloongea ni ukweli mtupu asilimia mia
kwenye makanisa ya kikatoliki haipiti mwezi bila kuungamisha wanawake waliokana Imani

Dada yangu anajuta hadi kesho kwa kubadili dini ila anaona aibu kwenda kuungamana mbele ya madhanahu

Wasichana wa kikristu ni wajinga sana, sijawahi kushuhudia msichana ambaye hakujuta kuwa Muislam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom