Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

Ungetuambia na wengine kama O-Ten, Snare, Pauline Zongo na wengine nao wana nini?

Ova
Ungetuambia na wengine kama O-Ten, Snare, Pauline Zongo na wengine nao wana nini?

Ova

Watu wa Moro wanasema O ten na mwenzake Mwampamba wanakunywa sana pombe za kienyeji na hawataki kupigwa picha.

Pauline Zongo aliingia kwenye drugs

Snare sijajua
 
Back
Top Bottom