Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Matajiri wa kiafrika wanaakili kama zako matokeo yake wakifa marafiki zao ndo wanaofaidi mali zao Uku familia zao zikibaki hazina kitu baada ya mda flani
Acha uvivu na akili tegemezi.Tafuta vya kwako kwanza.Urithi iwe kitu cha ziada.Watu sampuli yako huwa hamkawii kuua ndugu zenu kwa kugombea vya urithi.Heshima yako ije kwa kufanya kazi na kumiliki jasho lako.
 
Unavyoniita mvivu je nilishawahi kuja kukulilia shida

Mimi watoto wangu ntawaachia urithi mzuri tu mimi kwetu ni familia ya kawaida kwa hiyo tumeachiwa urithi wa kawaida tu

Naomba nijibu hili swali
Mbona wahindi na warabu wanategemea urithi na hawauani
 
Well said, kwa hiyo mwenye haki ya kudai urithi ni mjukuu,wala si mtoto
tukifuata hiyo mistari hapo juu.
Nimalizie kwa kusema,kama wewe ni mtoto wa Mr X,na babu yako ni Y
na Y kama anaishi nenda kamuombe urithi, endapo ameishakufa bila kukuachia urithi
basi una bahati mbaya pambana kutafuta vyako.
Hizo mali alizoacha marehemu nani atasimamia
Mfano baba yako ni tajiri akafariki ghafla bila kutoa urithi na msimamizi kwa hizo mali mtaziacha
Mbona watu mnaakili fupi sana
 
'Na kutopewa siyo hiari,
mtu anawezakuwa na mali akaamua kuuza na hela akatumia
jaribu kumfungulia mashtaka,useme anauza mali sasa sisi tutarithi nini? usikie majibu ya hakimu.
Utoto raha sana ukikua ukipambana ukawa na mtoto wako na familia huwezi ongea jambo kama hili
 
Unavyoniita mvivu je nilishawahi kuja kukulilia shida

Mimi watoto wangu ntawaachia urithi mzuri tu mimi kwetu ni familia ya kawaida kwa hiyo tumeachiwa urithi wa kawaida tu

Naomba nijibu hili swali
Mbona wahindi na warabu wanategemea urithi na hawauani
Sijajua kama ulielewa nilichokueleza.Naanza upya.Tafuta mali zako kwanza.Hivyo vya urithi viwe vya ziada tu.Usiegemeze ubongo wako kusubiri urithi.Usipokuwepo huo urithi utafanyaje?Utaanza kulia?Na hata watoto na unaokaa nao kuongea nao usiwakaririshe kwamba ni lazima wagawiwe urithi.Unawapa ulemavu wa akili ya kutotafuta na kutojitegemea.Siyo lazima upate urithi.
 
Hizo mali alizoacha marehemu nani atasimamia
Mfano baba yako ni tajiri akafariki ghafla bila kutoa urithi na msimamizi kwa hizo mali mtaziacha
Mbona watu mnaakili fupi sana
Utoto raha sana ukikua ukipambana ukawa na mtoto wako na familia huwezi ongea jambo kama hili
Acha kuuwaza urithi kihivyo.Utalala na katambuga!
 
Utoto raha sana ukikua ukipambana ukawa na mtoto wako na familia huwezi ongea jambo kama hili
Bahatimbaya hatujuani,ila kwa ufupi ni kwamba wanaopambana humu kupata urithi wengi ni marioo
wanaojitambua,huwezi kugombea mali ya mwanaume mwenzio,ili hali una mikono na miguu.
 
Hizo mali alizoacha marehemu nani atasimamia
Mfano baba yako ni tajiri akafariki ghafla bila kutoa urithi na msimamizi kwa hizo mali mtaziacha
Mbona watu mnaakili fupi sana
Tafuta mali bro,kusubiri urithi kutakufanya maskini.
Kwani huyo unayempigia mahesabu ya kufa ili urithi akiamua kuuza mali zake akasafiri,utaandamana?
 
Back
Top Bottom