Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na familia ya Kambenga katika mgogoro wa ardhi Namawala.
Licha ya mkuu wa mkoa aliyepita Martin Shigela kumaliza mgogoro huo. Familia ya Kambenga inaendelea kutumia polisi wa kituo cha Ifakara kukamata wakulima na matrekta yao na kuwafungulia mashtaka na kuyapuuza maamuzi ya mkuu wa mkoa aliyehamishwa.
Familia ya Kambenga ikiongozwa na Hasanali Kambenga haina umiliki wa eneo hilo wana ofa ya eka mia moja iliyopatikana isivyo kihalali kwenye eneo la Narubungo lakini wanadai kua wanamiliki eka 1000 hata hivyo ameendelea kuwasumbua wana kijiji cha Videnge ndio hapo tunaona upotoshaji.
Kuna habari za chinichini kuwa analindwa na Ridhiwani Kikwete kesi mbili za mahakama ya wilaya kesi namba 29/2018 na kesi namba 200/2018 hakimu akiwa L.o.KHAMIS ziliamuliwa kimchongo licha ya ushahidi wa wazi uliotolewa mahakamani dhidi ya Kambenga.