Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 153
- 139
Acha zako bana weweeee......haya maneno Yako ukienda mbele za watu kuwaambia watakuona kichaaa
Na amini kwamba Dunia imekuwepo na itakuwepo milele.Ww una amini katika lipi chief?
Uchawi unaamini kwamba upo?😅 Ila mbingu unaona ni imaginationNakwambia hivi mbingu Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mambo ya rohoni ni imaginations just an illusion.
Na amini kwamba Dunia imekuwepo na itakuwepo milele.
Hakuna kitu kama mbinguni.
Ukisha kufa ndio basi.
Fikiria watu waliokufa Billion years ago, Lakini dunia bado ipo na watu huendelea kazaliwa kila siku.
Uchawi unaamini kwamba upo?😅 Ila mbingu unaona ni imagination
Uchawi unaamini kwamba upo?😅 Ila mbingu unaona ni imagination
Hyo mbingu unayosema haipo..ndio hyo ambayo tunaamiini tutaenda kwa kufanya hayo ambayo umetuasaMbingu haipo mazeee ......ishi vizuri na watu,furaha maisha yako vizuri kuwa kioo kwenye jamii na hivi ndivyo nature ya dunia ilivyo
Wapi nimesema naamini uchawi upo?Uchawi unaamini kwamba upo? Ila mbingu unaona ni imagination
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kufahamu chanzo cha Dunia.Sawa chief tuende taratibu.
hyo dunia ambayo imekuwepo ..imekuwepo kutokea wapi?
Hamna chanzo wala asili ya kuwepo kwake?
Unaweza ukaniambia kipi kilipelekea pakawa na binadamu, wanyama ,ndege.Mpaka sasa hakuna aliyeweza kufahamu chanzo cha Dunia.
Nadharia mbalimbali zimetolewa tu, kudhani na kuonesha namna dunia ilivyo anza.
Lakini hakuna ushahidi na uthibitisho kamili wa Asili na chanzo cha Dunia.
Hatuwezi kujua, Tusicho kijua.Unaweza ukaniambia kipi kilipelekea pakawa na binadamu, wanyama ,ndege.
Kipi kilipekea watu wakatofautiana rangi , lugha na hata jinsia.
Kama vitu kibao ambavyo tunategemea ili kuishi kama ardhi ili kupanda mazao ,kuna mvua ,usiku na mchana ,hali ya hewa kama joto ma baridi na vingine kibao ,..Je unaweza kuniambiq hivyo vyote vimetokana na nn au mechanisma gani?
Kama baridi hata waliondelee watlibuni AC inaleta baridi ila hii baridi ya asili inatokana na nn?
Basi mbingu ipo kwa nasharia na weny kuamini uwepo wake ..Ni wewe tu kama hukubali ni sawa ila ipo kwa wenye imani.!!Hatuwezi kujua, Tusicho kijua.
Nadharia mbalimbali za kisayansi na kidini zote zimejaribu kuonesha vyanzo vya wanyama, ndege na binadamu.
Hakuna uthibitisho wa uhakika na ushahidi kamili unao onyesha chanzo halisi cha ulimwengu.
Maana kumbuka si ulimwengu tu, pia na Universe, ime elezewa kwa nadharia nyingi sana.
Uchawi,mbingu vyote ni mawazo ya kipuuziUchawi unaamini kwamba upo? Ila mbingu unaona ni imagination
KWAHYO HAKUNA UNACHOAMINI KATIKA CHANZO CHA UWEPO WA DUNIA MAANA HAMNA USHAHIDI KUTOKA KWA HAO WANADAMU AMBAO UNAWAAMINI WAKIKULETEA USHAHIDI.Mpaka sasa hakuna aliyeweza kufahamu chanzo cha Dunia.
Nadharia mbalimbali zimetolewa tu, kudhani na kuonesha namna dunia ilivyo anza.
Lakini hakuna ushahidi na uthibitisho kamili wa Asili na chanzo cha Dunia.
Naamini dunia imekuwepo na itakuwepo milele.KWAHYO HAKUNA UNACHOAMINI KATIKA CHANZO CHA UWEPO WA DUNIA MAANA HAMNA USHAHIDI KUTOKA KWA HAO WANADAMU AMBAO UNAWAAMINI WAKIKULETEA USHAHIDI.
Pole sana.Mambo ya kiroho ni illusions.
Hazipo.
Hapa ndio huwa nashangaa,Mpaka sasa hakuna aliyeweza kufahamu chanzo cha Dunia.
Nadharia mbalimbali zimetolewa tu, kudhani na kuonesha namna dunia ilivyo anza.
Lakini hakuna ushahidi na uthibitisho kamili wa Asili na chanzo cha Dunia.
Kitu kikisha thibitishwa na kuonekana kipo, kutakuwa hakuna haja ya imani, maana kitakuwepo.Hapa ndio huwa nashangaa,
Swali, Wanasayansi wakikamilisha tafiti zao wakaja kukuthibitishia Mungu au Mbingu ipo utaamini ?