HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,617
- 4,882
M
Unasema kwetu ni mpira kwanza, halafu mshiko upo tu, siyo?
Utakuwa sahihi.
Mshiko mbele kwanza halafu mpira ufuate.Ili usajiriwe arsenal, kwanza uwe the gunner au uwe na mapenzi na timu
Pili uelewe project na uwe tayari kufia uwanjani kwa ajiri ya timu
Look at this, alipoulizwa kuhusu kuwa sehemu ya squad ya nyumbuView attachment 2978531
Unasema kwetu ni mpira kwanza, halafu mshiko upo tu, siyo?
Utakuwa sahihi.