'Mama Anatosha' Hii ndiyo kauli mbiu ninayotamba nayo mitaani kwangu na kuungwa mkono kwa wingi

Kwani ulishasikia kuwa nchi haina Rais ?
Rais ni wa watanzania Mgombea ni wa chama chenu.

Ukitaka kujua hayo ni mambo ya chama chenu na wala hayahusiani na Urais alionao, mbona haendi CHADEMA kuchukua fomu ya kugombea Urais???

Tenga mbali urais wa nchi yetu na chama chenu.
 
Jibu ni moja tu kuwa Rais Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom