Mwita Waitara: Rais Samia Anatosha na Chenji inabaki

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,894
51,680
Wakati Bunge la JMT linaendelea na kujadili Bajeti ya TAMISEMI,Mbunge wa Tarime Mwita Waitara amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni ya miradi kwenye Majimbo na sekta zote alitaja kwamba haijawahi tokea.

Mbunge Waitara amesema Rais Samia anasemwa sana Kwa sababu ya kuacha alama kubwa na kupafomu Nje ya matarajio hivyo lazima asemwe na lazima wamsemee mazuri na mabaya.
Screenshot_20240418-133210.jpg

My Take
Naunga mkono hoja,Samia Anatosha na twende na Hashtag ya Nasimama na Samia aliyoanzisha Nape Mnauye na kupigwa chapuo na Hamis Kigwangala.

View: https://www.instagram.com/p/C55jAfbtdeC/?igsh=cXl2OHJoZHZjeGN2
 
Wakati Bunge la JMT linaendelea na kujadili Bajeti ya TAMISEMI,Mbunge wa Tarime Mwita Waitara amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni ya miradi kwenye Majimbo na sekta zote alitaja kwamba haijawahi tokea.

Mbunge Waitara amesema Rais Samia anasemwa sana Kwa sababu ya kuacha alama kubwa na kupafomu Nje ya matarajio hivyo lazima asemwe na lazima wamsemee mazuri na mabaya.

View: https://www.instagram.com/reel/C55aVIvtMqA/?igsh=MWJjaXRkeXF5eHRmbw==

My Take
Naunga mkono hoja,Samia Anatosha na twende na Hashtag ya Nasimama na Samia aliyoanzisha Nape Mnauye na kupigwa chapuo na Hamis Kigwangala.

Mlevi mbwa huyo
 
Ukipewa maiki sema yoote,usisahau kukazia kwenye kumpongeza mama. Hata wanaokosoa humu wangekuwa viongozi wasingejisahau
 
Wakati Bunge la JMT linaendelea na kujadili Bajeti ya TAMISEMI,Mbunge wa Tarime Mwita Waitara amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni ya miradi kwenye Majimbo na sekta zote alitaja kwamba haijawahi tokea.

Mbunge Waitara amesema Rais Samia anasemwa sana Kwa sababu ya kuacha alama kubwa na kupafomu Nje ya matarajio hivyo lazima asemwe na lazima wamsemee mazuri na mabaya.

View: https://www.instagram.com/reel/C55aVIvtMqA/?igsh=MWJjaXRkeXF5eHRmbw==

My Take
Naunga mkono hoja,Samia Anatosha na twende na Hashtag ya Nasimama na Samia aliyoanzisha Nape Mnauye na kupigwa chapuo na Hamis Kigwangala.

View: https://www.instagram.com/p/C4nnV5stsnz/?igsh=MXM2bDBrMWZkdHE0ZQ==

Kazi ipo 2025!
 
Jana nimemwona mama Kwenye ziara yake Uturuki, Body Language yake inaonyesha kabisa amechoka, ni bora mawazo yake nae yaheshimiwe kama anataka kugombea au La
 
Wakati Bunge la JMT linaendelea na kujadili Bajeti ya TAMISEMI,Mbunge wa Tarime Mwita Waitara amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni ya miradi kwenye Majimbo na sekta zote alitaja kwamba haijawahi tokea.

Mbunge Waitara amesema Rais Samia anasemwa sana Kwa sababu ya kuacha alama kubwa na kupafomu Nje ya matarajio hivyo lazima asemwe na lazima wamsemee mazuri na mabaya.

View: https://www.instagram.com/reel/C55aVIvtMqA/?igsh=MWJjaXRkeXF5eHRmbw==

My Take
Naunga mkono hoja,Samia Anatosha na twende na Hashtag ya Nasimama na Samia aliyoanzisha Nape Mnauye na kupigwa chapuo na Hamis Kigwangala.

View: https://www.instagram.com/p/C4nnV5stsnz/?igsh=MXM2bDBrMWZkdHE0ZQ==

Naunga mkono hoja !
 
Back
Top Bottom