Hamis Kigwangalla: Ukiposti kitu chochote Mtandaoni weka na Hashtag ya 'Nasimama na Mama'

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,937
51,752
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta Nchi nzima ya Tanzania.

Mbunge Kigwangala amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni huko Jimboni Nzega Vijijini Ametoa mfano wa upatikanaji wa Maji ya Bomba kutoka asilimia 0% Hadi asilimia 70%.

View: https://www.instagram.com/reel/C55yRCKNp0x/?igsh=cG9ydWNnMmxvdmRs


My Take
Naunga mkono hoja na Nasimama na Mama
Screenshot 2024-04-18 144602.jpg



View: https://www.instagram.com/p/C55jAfbtdeC/?igsh=cXl2OHJoZHZjeGN2
 
Back
Top Bottom