Makapuku Forum

Habari za jioni Makiwendo mrembo usiye na makuu, mwenye shape lako zuri. Nakusalimia popote ulipo maana Mungu alikuumba ukaumbika haswa. Ningeijua namba yako ningekuwire hata bando la wiki nzima.

Nawasalimu makapuku wote popote mlipo jioni hii Atoto Lee makaveli10 moudgulf Mjep Shunie Tresor Mandala Carasco Putin Mideko
Safi sana br Poker , fikisha salaam zangu kwa mtoto asiye na makuu Makiwendo, mwenye shepu lake zuri, mwambie namsalim kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ukipta namba yake nami nitumie ili nimfanyie mpango wa bundle japo la mwezi tuπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Hahahahaha
 
Magazeti ya leo April 26, 2024.
IMG_2134.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom