Makapuku Forum

Magazeti ya leo April 30, 2024.
Screenshot_20240430_075650_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20240430_075725_Opera%20Mini.jpg
 
OVYO KABISA
.
16 —TOTTENHAM Hotspur ni timu ya 16 kufungwa mabao mengi zaidi (50+) katika Ligi Kuu England msimu huu, hii ni idadi kubwa zaidi ya mabao timu hiyo kufungwa katika msimu wa ligi hiyo yenye timu 20 tangu msimu wa 1909-10.
Screenshot_20240430_090226_InstaPro%20.jpg
 
“Hatujawahi kutoka kambini tukasema tunakwenda kuwafunga wapinzani mabao matano, kushinda mabao mengi inategemea na makosa gani mpinzani ameyafanya dhidi yetu, tuna staili ya soka letu namna ya kutafuta ushindi, kitu muhimu kwetu ni kushinda kwa kupata pointi tatu na kucheza soka la kuvutia,”
.
“Angalia mechi ya juzi ingewezekana kushinda mabao mengi, wapinzani wetu walijua wanakuja kukutana na timu gani wakaamua wote kucheza nyuma ya mpira bado haikuwa shida tulitawala mchezo na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.”

— Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi.
Screenshot_20240430_090548_InstaPro%20.jpg
 
“Nini kinafuata? Kuondoka kwake (Benchikha) kunaipa Simba nafasi ya kuanza upya. Naambiwa Simba wamepania kuachana na kundi kubwa la wachezaji ambao wanaamini hawana msaada kwa sasa katika kikosi chao.
.
Wapo kina Clatous Chama, Saido Ntibazonkiza, Henock Inonga na wengineo. Ina maana mwanzo wa msimu mpya ujao Simba itakuwa na kocha mpya, pia kundi kubwa la wachezaji wapya. Unaweza ukawa mwanzo mzuri kwa Simba ingawa kama tunavyoelewa wakati mwingine inakuwa ngumu kuunganisha timu kwa urahisi kama kila mtu anajikuta ni mpya kikosini.
.
Hata hivyo, hilo ni jambo ambalo mashabiki wa Simba wanatamani kuliona. Ili mradi tu wasajiliwe wachezaji wenye viwango hasa vya kuchezea Simba. Wasiwe kama hawa ambao wamesajiliwa katika madirisha machache yaliyopita. Wengi hawana hadhi ya kuchezea Simba.” — Edo Kumwembe.
Screenshot_20240430_090701_InstaPro%20.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom