Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,983
221,531
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.

==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo, makazi ya Viongozi na Watumshi wa Mikoa, Wilaya na Tarafa katika Mikoa 26.

Mchengerwa ametoa taarifa hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo April 16, 2024 wakati akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/202 ambapo amesema shughuli zitakazotekelezwa katika utawala bora ni pamoja na ununuzi wa magari 9 ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Mikoa ya Katavi, Njombe, Iringa, Kigoma, Mwanza, Singida, Dar es Salaam na Manyara”

“Shughuli nyingine ni ununuzi wa magari 56 ya Wakuu wa Wilaya na 47 ya Wakurugenzi wa Halmashauri”

Pia soma: Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS
 
Basi wanunue Land Cruiser Prado jamani, hiyo kwenye picha waache kabisa jamani, ni very expensive, hiyo kwenye picha wabakie Mh. Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu na Speaker, wengine wote wanunuliwe Land Cruiser Prado
 
Im just thinking out loud, kwanin wasinunuliwe zile Rav 4 sauti ya manka?
Maana zile ni kanyaga twende kwenye shimo na lami.
Au probox zinafaa.
Ili kuwatofautisha na sisi wengine wanunuliwe za kijani ili wamtangaze na kumsifia boss kwa maneno na vitendo
 
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.

==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo, makazi ya Viongozi na Watumshi wa Mikoa, Wilaya na Tarafa katika Mikoa 26.

Mchengerwa ametoa taarifa hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo April 16, 2024 wakati akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/202 ambapo amesema shughuli zitakazotekelezwa katika utawala bora ni pamoja na ununuzi wa magari 9 ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Mikoa ya Katavi, Njombe, Iringa, Kigoma, Mwanza, Singida, Dar es Salaam na Manyara”

“Shughuli nyingine ni ununuzi wa magari 56 ya Wakuu wa Wilaya na 47 ya Wakurugenzi wa Halmashauri”
NASHAURI WAWANUNULIE V8 KAMA ZA WAKUU WA MIKOA KWANI WANAFANYA KAZI SANA
 
Je, magari ya kubeba wagonjwa (ambulance) nazo zitanunuliwa ngapi???? ????
 
Ni upigaji juu ya upigaji, sasahivi hao wakuu wa Wilaya hawana magari?
 
Back
Top Bottom