Hii Nchi ombeni atokee dikiteka zaidi ya Magufuli na awe asiwe mshamba kama Magufuli labda ndio atawaoko.Vingenevyo,yanayo tender huku ni basi tu Watanzania wengi ni matahira.
 
Mungu atakuwa anawatwaa wote wawili kwa mkupuo mpaka watoe hiki walichokipitisha! Hizi hasara Mungu hawezi kuzivumilia
 
Hiko kifungu cha 19 mbona ni balaa.hawa watu walifikiria kwel,hebu jiulize idadi ya mawaziri na manaibu waziri ilivyo kubwa na hii teua tengua mbona watamaliza mfuko wote wa serikali
 
BADILIKO 1:
Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani, kama rais alikaa madarakani kwa miaka 10, akalipwa mshahara wa TZS 3B, basi mwenza wake atalipwa TZS 750M, fedha ambayo inalipwa kwa mkupuo.

BADILIKO 2:
Kwenye kifungu cha 11 kinachohusu mafao ya mjane wa rais mstaafu (survivor's pension) ambapo kwa sasa kila mwezi mjane hulipwa 40% ya mshahara wa rais aliye madarakani. Asilimia imeongezwa na sasa mjane atalipwa 60%. Mfano kama rais anapokea TZS 30M kwa mwezi, basi mjane wa rais atalipwa TZS 18M kila mwezi.

BADILIKO 3:
Ongezeko la kifungu kipya cha 12A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa makamu wa rais mstaafu. Baada ya makamu wa rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa makamu wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani, kama makamu wa rais alikaa madarakani kwa miaka 10, akalipwa mshahara wa TZS 2B, basi mwenza wake atalipwa TZS 500M, fedha ambayo inalipwa kwa mkupuo.

BADILIKO 4:
Kufutwa kwa kifungu cha 13 ambapo makamu wa rais anapofariki akiwa madarakani, au baada ya kustaafu (kabla hajalipwa mafao yake), mwenza wake, atalipwa (survivor's pension) sawa na 40% ya mshahara wa makamu wa rais aliye madarakani, na stahiki nyingine zilizoelezwa kwenye jedwali la sheria hiyo, ikiwemo nyumba, matibabu na mengine mengi. (kifungu hiki kimefutwa).

Kifungu kipya cha 13 ambapo makamu wa rais anapofariki akiwa madarakani, au baada ya kustaafu (kabla hajalipwa mafao yake), wategemezi wake (dependants) watalipwa kiasi cha fedha sawa na mshahara wote wa makamu wa rais alioupokea wakati akiwa madarakani. Mfano, kama makamu wa rais alikaa madarakani kwa miaka 10, akalipwa TZS 2B kama mshahara, basi wategemezi wake watalipwa kiasi hiko cha TZS 2B kama pension. Ifahamike, kwa mujibu wa sheria hii, neno "dependants" limefafanuliwa kwenye kifungu cha 4, na maana yake ni mke au wake, mume, watoto (ambao walikuwa ni tegemezi kwa marehemu), pamoja na wazazi wa marehemu (wategemezi).

Pia, mke wa marehemu (makamu wa rais) atalipwa fedha (survivor's pension) kila mwezi sawa na 40% ya mshahara wa wa makamu wa rais aliye madarakani kwa sasa. Pia, atapata stahiki nyingine zilizotajwa kwenye jedwali la sheria hii.

BADILIKO 5:
Kifungu cha 14 kimeongezwa kifungu kidogo cha "4" kinachotoa haki ya "msaidizi wa kazi" mmoja kwa mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu kabla ya sheria hii kutungwa. Hapa tunazungumzia Mawaziri wakuu wastaafu wakati wa Mwalimu.

BADILIKO 6:
Ongezeko la kifungu kipya cha 14A ambacho hakipo kwenye sheria ya sasa> Kifungu hiki kinataja mafao ya mke/mume wa Waziri Mkuu mstaafu. Baada ya Waziri Mkuu kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa Waziri Mkuu alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Mfano, kama Waziri Mkuu ameshika madaraka kwa miaka 10, akalipwa mshahara wa TZS 1B, basi mwenza wake atalipwa TZS 250M, fedha ambayo inalipwa kwa mkupuo (lump sum).

BADILIKO 7:
Kifungu cha 15(2) kimefanyiwa nyongeza ya neno "granted monthly", ambapo kwa sheria ya sasa, kifungu hiki kinamtaja mjane wa Waziri Mkuu kupokea kiasi cha fedha 40% ya mshahara wa Waziri Mkuu aliye madarakani. Kilichoongezeka ni kwamba, hiki kiasi atakuwa analipwa KILA MWEZI.

BADILIKO 8:
Kifungu cha 18(2) kimefanyiwa nyongeza ya neno "granted monthly", ambapo kwa sheria ya sasa, kifungu hiki kinamtaja mjane wa Spika wa Bunge kupokea kiasi cha fedha 40% ya mshahara wa Spika aliye madarakani kwa sasa. Kilichoongezeka ni kwamba, hiki kiasi atakuwa analipwa KILA MWEZI.

BADILIKO 9:
Badiliko la JEDWALI la sheria hii linalotaja nyongeza ya mafao ya viongozi.

1. Rais mstaafu ameongezewa idadi ya magari kutoka magari 2, sasa atapata magari 3 yasiyopungua uzito wa tani 3 (yaani hawezi pewa Corola, bali ni gari kubwa kama V8 n.k, ambapo atapewa magari mapya kila baada ya miaka 5.
2. Rais mstaafu ameongezewa idadi ya madereva toka 2 na sasa atapewa 3.
3. Sheria ya sasa inataja gharama za mazishi kwa rais mstaafu tu, nyongeza iliyowekwa ni gharama ya mazishi kwa mwenza wake. Yaani kama rais mstaafu atafiwa na mke/mume wake, basi Serikali itagharamia mazishi hayo.
4. Makamu wa Rais mstaafu ameongezewa idadi ya magari kutoka gari 1, sasa atapata magari 2 yasiyopungua uzito wa tani 3 ambapo atapewa magari mapya kila baada ya miaka 5.
5. Makamu wa Rais mstaafu ameongezewa idadi ya madereva toka 1 na sasa atapewa madereva 2.
6. Makamu wa Rais atajengewa nyumba ya kifahari. Ikumbukwe, kwa sheria ya sasa, ni Rais mstaafu pekee ndiye anajengewa nyumba.
7. Sheria ya sasa inataja gharama za mazishi kwa Makamu wa Rais mstaafu tu, nyongeza iliyowekwa ni gharama ya mazishi kwa mwenza wake. Yaani kama Makamu wa Rais mstaafu atafiwa na mke/mume wake, basi Serikali itagharamia mazishi hayo.
8. Makamu wa Rais atapewa ulinzi yeye binafsi,na wana familia wake kama mke/mume na watoto. Ulinzi huu utatolewa na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) kutokana na mabadiliko ya sheria ya TISS ya hivi karibuni.
9. Waziri Mkuu mstaafu ameongezewa idadi ya magari kutoka gari 1, sasa atapata magari 2 yasiyopungua uzito wa tani 3 ambapo atapewa magari mapya kila baada ya miaka 5.
10. Warizi Mkuu mstaafu ameongezewa idadi ya madereva toka 1 na sasa atapewa madereva 2.
11. Waziri Mkuu mstaafu atajengewa nyumba ya kifahari. Ikumbukwe, kwa sheria ya sasa, ni Rais mstaafu pekee ndiye anajengewa nyumba.
12. Sheria ya sasa inataja gharama za mazishi kwa Waziri Mkuu mstaafu tu, nyongeza iliyowekwa ni gharama ya mazishi kwa mwenza wake atakapofariki.
13. Waziri Mkuu atapewa ulinzi yeye binafsi,na wana familia wake kama mke/mume na watoto. Ulinzi huu utatolewa na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) kutokana na mabadiliko ya sheria ya TISS ya hivi karibuni.
14. Mjane wa Rais mstaafu, kwa sheria ya sasa anapata 40% ya mshahara wa rais aliye madarakani kila mwezi kama "maintenance allowance", asilimia hii imepanda sasa atalipwa 60%.
15. Sheria ya sasa inatoa gharama za matibabu kwa mjane wa Rais mstaafu kwenye hospitali za ndani ya nchi tu, lakini badiliko la sheria mpya, atalipiwa na Serikali matibabu ya hospitali za nje ya nchi pia.
16. Mjane wa Rais mstaafu ameongezewa huduma za gari toka gari moja mpaka magari mawili, na dereva 2 kufanya shughuli zake za kila siku. Serikali inalipia gharama za mafuta pia. Magari haya yatakuwa yanabadilishwa kila baada ya miaka 5. Pia, ameongezewa mpishi, mfua nguo na mtunza bustani. Atapata ulinzi wa TISS.
17. Mjane wa Makamu wa Rais, anapata stahiki kama za mjane wa rais isipokuwa tofauti yake ni moja, yeye atapata gari moja la Serikali na dereva mmoja.
18. Mjane wa Waziri Mkuu mstaafu anapata stahiki za ziada kama mjane wa Makamu wa Rais, isipokuwa gari analotumia la Serikali litakuwa linabadilishwa kila baada ya miaka 7.
19. Hili ni badiliko linalohusu Waziri, Naibu Waziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wastaafu ambapo watapata ziada ya mafao yao: wind-up allowance, Diplomatic passport kwao na wenza wao, gari moja ambalo atapewa jipya kila baada ya miaka 5, Ulinzi wa TISS, Msaidizi mmoja, Bima ya Afya bure yeye na mwenza wake, Matumizi ya VIP lounge.
20. Hii ni nyongeza kwa Spika wa Bunge kwenye mafao yake: gari moja, Bima ya Afya yake binafsi, matumizi ya VIP lounge, pia anapata stahiki nyingine kama LITA 70 za mafuta kwa wiki

NB:
Sheria hii imefanyiwa MABADIRIKO kwa kile kilichoitwa "MABORESHO" na Rais SSH wakati anatoa maagizo kwa aliyekuwa Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa wakati akikabidhi nyumba mpya kwa Rais mstaafu JK.
Pongezi kwa CCM na RAIS wetu kwa Kuwaboreshea Wenza wa WASTAAFU
HATA HIVYO KIASI HICHO BADO KIDOGO SANA KM MAGARI WANGEPEWA 5
 
Sijasoma nikamaliza, lakini ukweli ni kwamba tunawachagua watu wakula pesa na si kutatua changamoto zetu.
Mtu ambae anapata kila anachokihitaji kwa wakati anaotaka yeye haweze akafeel mtanzani maskini anateseka namna gani.
Yaani wanaona pesa zipo nyingi na hazina matumizi. Bora wajingeze mishahara + posho na wakistaafu pesa ipo ya kuwalipa kwa mkupuo.
Ila sisi tunaokamuliwa ili waishi maisha hayo wanayoishi Pensheni zeru zitalipa tukifisha Miaka 60 tena kidogokidogo.
Mvua zimeharibu barabara, magari hayapitika, tulio wachagua kutuwakilisha wamepeleka barabara za lami maeneo wanayoishi wao😭
Anyways tujitahidi kusomesha watoto wsru
 
Will this apply retroactively or going forward only?

Mfano, wajane wa marais wanaoongezewa mafao kutoka 40% mpaka 60% ya mshahara wa rais, hii ita apply kwa wajane wa marais watakaofariki baada ya sheria hii kupitishwa tu?

Au ita apply retroactively kuongeza mafao kutoka 40% mpaka 60% ya mshahara wa rais hata kwa Mama Maria Nyerere, Mama Siti na Mama Hadija Mwinyi, Mama Anna Mkapa na Mama Janet Magufuli, ambao waume zao walikuwa marais na walifariki kabla ya mabadiliko haya kupitishwa?

I am very interested in retroactive laws, their controversies, especially in criminal laws in common law jurisprudence, and whether that controversial nature of retroactive laws is limited to criminal law or may extend to the above example.
 
Si muda wa kujadili sana.Unatakiwa ulipe kodi accordingly itunze vizuri mabwanyenye hao.Kama hautaki,hama nchi.Easy,easy!It's a mere joke!🤣🤣🤣🤣
 
Will this apply retroactively or going forward only?

Mfano, wajane wa marais wanaoongezewa mafao kutoka 40% mpaka 60% ya mshahara wa rais, hii ita apply kwa wajane wa marais watakaofariki baada ya sheria hii kupitishwa tu?

Au ita apply retroactively kuongeza mafao kutoka 40% mpaka 60% ya mshahara wa rais hata kwa Mama Maria Nyerere, Mama Siti na Mama Hadija Mwinyi, Mama Anna Mkapa na Mama Janet Magufuli, ambao waume zao walikuwa marais na walifariki kabla ya mabadiliko haya kupitishwa?

I am very interested in retroactive laws, their controversies, especially in criminal laws in common law jurisprudence, and whether that controversial nature of retroactive laws is limited to criminal law or may extend to the above example.
Retrospectively my dear.
Unafikiri mke wa JK alikuwa anawaombea wenza wajao, rejea video yake pale Dodoma, alisema wanafanya kazi sana kuwaliwaza waume zao, hivyo nao walipwe, in short ni kama alitaka wawe kama marais?
 
Huwa nasema hivi

Siku watanzania tukiisoma katiba yetu tukaielewa vizuri, sina hakika kama hii nchi itakalika vizuri
Mkitaka kusoma tu mnaletewa tukio, mara Makonda kaenda Arusha, Mara Yanga wamelipiwa nauli, mara Mange kimamb sijui kaachia video, yaani tupo busy na ujinga!
 
Retrospectively my dear.
Unafikiri mke wa JK alikuwa anawaombea wenza wajao, rejea video yake pale Dodoma, alisema wanafanya kazi sana kuwaliwaza waume zao, hivyo nao walipwe, in short ni kama alitaka wawe kama marais?
Did she really say that? Kwamba hao wake wanafanya kazi sana kuwaliwaza waume zao, hivyo nao walipwe?

Na kabisa wa bunge wakakubaliana naye?
 
MABADILIKO YA SHERIA YA MAFAO YA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO:

Jina la sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT, (CAP. 225)

"THREAD"

Back
Top Bottom