Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,046
- 7,464
Ukweli gani ambao jamaa kashindwa kuelewa kwamba kuna utofaut wa hymen na virgin
Ndiyo ukweli
Ndiyo ukweli
Ww ndio umejichanganya soma vzuri ulichoandika kule juuSome people mistakenly think that a broken or absent hymen can only result from penetrative sex. This is not correct.
The hymen can break, tear, or stretch during many activities. Some examples include:
- horseback riding
- gymnastics
- cycling
- using tampons or menstrual cups
- a gynecologist conducting a pelvic exam
Ww ndio ujifunze chief mm sjakataa hilo...ninachokuelewesha ww ni maana ya bikra(virgin) na hymen au kizindatafuta medical article yeyote ile juu ya hymen na vipi inaweza kuwa broken na utajifunza mengi
Hujajua maana ya bikra na kizinda ...Hivi unajua kuwa bikira ya mwanamke inaweza pia toka bila ya kusex kutegemea na activities za maisha ya
😂pole jamani😔Nimeenda kwenye zahanati ya kijiji wamenipiga sindano kwenye mguu inauma sana 😭
Asante my😂pole jamani😔
sawaWw ndio ujifunze chief mm sjakataa hilo...ninachokuelewesha ww ni maana ya bikra(virgin) na hymen au kizinda
sawaHujajua maana ya bikra na kizinda ...
Jifunze zaidi halfu usibishane kumjibu mtu
Bishana kwa uelewa
Natumai ulivyomaliza kugoogle ulielewa vyemasawa
Nipe link ya uzi wako kuhusu Waafrika kusapoti waIsraeli nikaupitie tena maana una madini sana.Hiyo habari nyingine ni kuhusu Hamas inavyopokea mkong'oto wa haja?
Hapana sina haja ya kugoogle kabisa kwa sababu naelewa nilichosema. Nimekujibu sawa kwa sababu sitaki kubishana.Natumai ulivyomaliza kugoogle ulielewa vyema
Kuowa mwanamke sio bikira ni safi sana tena awe single mother ,Inakuwaje wanaJamiiForums
Kuoa mwanamke asie na bikra ni kama vile mkeka wako kumuamini Man u aue ili ukatoe milioni zako
wanaJamiiForums toeni ushuhuda wenu, vp mkeka wako ulitiki au mapema tu Man u aliuchanilia mbali huko
Rumors ni nying kwelikweli mara bikra ndo uhakika, mara ooh oa rafiki yako
Basi tafalani
Je kwa wew uliecheza kamari ya kuoa asie na bikra vp ulitoboa? toa experience yako
Nb/Hii ni nyuzi ya wanaume tuliokubal changamoto za maisha, Wale tuliowakosa (kwa masikitiko) kataa ndoa wote piteni kuleView attachment 2786241
Hapo kwenye wivu umeshamalizasitasahau, siku nilipokuwa namtoa bikra, alikuwa ameshanipenda sana, na aliamua kunitunuku, kwa muda kama wiki ivi tukikutana hatukua tunaingiliana, nilikuwa naishia kuinyonya tu na kuchezea pale juu, ukiweka mlangoni anavyobana hiyo miguu na kukusukumia huko hutaamini nguvu zake, siku ilipofika ile kuanza kupenetrate, alitetemeka miguu yote kwa hofu ya maumivu, nilikuwa nishamlowesha sana kwasababu though yeye alikuwa bikra mimi nilikuwa nimekubuhu kwenye hayo mambo. iliiingia, tudamu tulikuwepo, ninamheshimu sana hadi leo kwasababu hiyo, na ndiye mama watoto wangu. shida ni moja tu, ukioa bikra, umeoa mwanamke mwenye wivu kuliko wanawake wote duniani, wana upendo wa dhati na wana wivu wa dhati. naomba niishie hapo.
Hicho kigezo ni cha kijinga nikama unafikiria kwamba ndoa ni ngono tu, hizo ni fikra za kimasikini.Mughonile.
Niliapa sitaharibu ambacho hakijaharibika au kuharibiwa. Sitaondoa Bikra kama sitamuoa huyo Mwanamke. Kama unabikra basi nisingekuchezea lakini kama umejiharibu au kuharibiwa nilijipa uhalali wa kuendelea kufanya uharibifu.
Niliapa sitokuja kuoa Mwanamke asiye na Bikra hata nichomwe moto. Hata angesema nani. Labda ulikuwa ni utoto. Lakini kwa sasa nimekua na nipo ndoani kwa miaka kumi sasa tangu nilipooa 2013. Miaka kumi ya ndoa imekuwa ya furaha kwangu. Ndoa ya Mwanamke wa ndoto yangu, Bikra safi.
Najivunia kuwa miongoni mwao wanaume bora wenye bahati kwa kuoa na kuanzisha familia Safi. Najivunia watoto wangu kuwa na mama ambaye ni msafi ambaye usafi wake niliuthibitisha mimi mwenyewe siku nilipokata utepe.
Msimamo wangu wa kizamani unaninufaisha, umeniletea familia yenye furaha yenye uaminifu. Mama mwaminifu, msafi, mama mzuri, Watoto waliotoka katika mama mwenye kujitunza na kujizuia.
Kama hujaoa na unataka familia yenye furaha. Basi OA Mwanamke mwenye Bikra. Usiharibu ambavyo havijaharibika wala kuharibiwa. Utaishi maisha matamu Sana.
Bikra Matters
Usioe asiye na Bikra
Kalaghabaho
Sio cha kijinga mkuu mbona hicho kilikuwa kigezo kikuu zamani sema maisha ya sasa yamebadilika mizagamuo imekuwa mingi tangu umri wa balehe sasa mpaka mtu aje aoe na kuolewa utaipata wapi bikra nowdays ni ngumu hivyo mfumo wa maisha na mabadiliko ya tabia ya sasa yametulazimisha kukubali kuoa mtu asiye na bikra na sio vinginevyo.Hicho kigezo ni cha kijinga nikama unafikiria kwamba ndoa ni ngono tu, hizo ni fikra za kimasikini.
Kinielo Kya ghuso......mama aki mwenyewe hakuokewa bikira na Bado akakuzaa wewe......!!!!Mughonile.