Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,520
- 3,594
Umeikimbia nyuzi mazima kwa vipondoLeta code nikakifunge dls tu wachana na ndoa adriz Mufti kuku The Infinity
Umeikimbia nyuzi mazima kwa vipondoLeta code nikakifunge dls tu wachana na ndoa adriz Mufti kuku The Infinity
Hilo halina ubishisawa ila nakumbusha atakaekusaliti muache mara moja
Possibility ya mke uliyemkuta bikra kukusaliti ni ndogo kuliko uliyemkuta kopo.Kuoa bikira atakusumbua sana akionja nje akizibuka
Umeutendea haki uzi MkuuUkibahatika bikra ina raha yake sana kwenye ndoa binafsi mke wangu nilimpata akiwa nayo mwaka wa saba nane (2015)kwenye ndoa watoto watatu kiukweli hawa watu neno kuchepuka halipo pia wanapenda sana sababu kuonjwa ni kwa mmoja tu
Kwa dunia ya sasa mwanaume ni ngumu kusimama mke wangu hatoki nje ya ndoa lakini
Ukimpata na bikra imani unayo mwaka wa nane huu nina kauzoefu tayari na nimepita vichaka baadhi wale wazoefu nilichokikuta huko duuuh
Bikra ni muhimu ila ukiikosa basi mke awe na mungu karibu kupunguza tamaa
Kwa aliye kwenye ndoa na akampata bikra anajua tamu anayofaidi kwenye usaliti ni vigumu sana kuwakutaUmeutendea haki uzi Mkuu
Awe na akili hioPossibility ya mke uliyemkuta bikra kukusaliti ni ndogo kuliko uliyemkuta kopo.
Kama umefanikiwa kumkuta bikra akiwa na miaka zaidi ya 18 lazima utambue huyu hakutaka ngono chafu so akiolewa lazima aendelee kujitunza.
Unaweza kumkuta bikra na baada ya kuitoa akakusalitiInakuwaje wanaJamiiForums
Kuoa mwanamke asie na bikra ni kama vile mkeka wako kumuamini Man u aue ili ukatoe milioni zako
wanaJamiiForums toeni ushuhuda wenu, vp mkeka wako ulitiki au mapema tu Man u aliuchanilia mbali huko
Rumors ni nying kwelikweli mara bikra ndo uhakika, mara ooh oa rafiki yako
Basi tafalani
Je kwa wew uliecheza kamari ya kuoa asie na bikra vp ulitoboa? toa experience yako
Nb/Hii ni nyuzi ya wanaume tuliokubal changamoto za maisha, Wale tuliowakosa (kwa masikitiko) kataa ndoa wote piteni kuleView attachment 2786241
Inategemea na unayemchukua ukimchukua mtu muovu hata awe Bikra hakutokuwa na amani katika ndoa ,ndio maana Waislamu tunamehusiwa katika kuoa tuangalie dini ya mtu .Dini sio maana kuswali sana au kuhifadhi Qu'ran sana bali tabia yake kwa ujumla na mwenendo wake wote maisha yawe ya kiungwana ,wema ,uadilifu ,upole nk katika misingi ya dini.Kuoa bikira atakusumbua sana akionja nje akizibuka
Mufti kuku The Infinity amefuata nini hapo baada ya kunitag mimi ? maana huyo sio mdau wa DLS au unafuata dhana potufu za Maghayo ?Leta code nikakifunge dls tu wachana na ndoa adriz Mufti kuku The Infinity
Tulia wewe Mufti kuku The InfinityMufti kuku The Infinity amefuata nini hapo baada ya kunitag mimi ? maana huyo sio mdau wa DLS au umufuata dhana potufu za Maghayo ?
Unawarithisha watu siasa chafu hapa jukwaani katika jambo ambalo haina ushahidi wala haliingii akilini hata kidogo.Kuhusu hilo nishamaliza ngoja nifocous na habari nyingine Jf ..Tulia wewe Mufti kuku The Infinity