lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.

my views kwa mzize

1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. ni kibu kabisa statistically .

2. Mzize cant improve beyond his abilities. hiyo mentality hana. amepewa so many chances. tena at the big stage zote hewa. so awezi.

ni kibu mdogo. ana missing nyingi na makengeza kwenye mechi nzuri kwake. mara kaanguka

3. Mzize was never a good player. sema energetic players. akupi kipya other than unnecessarily movements . ila sio mchezaji wa kubadilisha anything in the field. ni kibu denis mdogo,

4. Ana kifafa akiona goli kama, kibu

My View: Yanga wachukue hela, huyu epileptic patient amna kitu
Uko sahihi.....
 
Wewe ni Mama wake?
Watu wanaomfahamu mzize wanasema ni mzee. Kacheza sana Iringa, Kaendesha mpaka bodaboda. Ishu ni kuwa kaminya umri sana

View: https://www.instagram.com/p/C5VJKyWNUwS/?utm_source=ig_web_button_share_sheet

GIKhV4hXUAAM_8o.jpeg
 
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.

my views kwa mzize

1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. 🚮🚮 ni kibu kabisa statistically .

2. Mzize cant improve beyond his abilities. hiyo mentality hana. amepewa so many chances. tena at the big stage zote hewa. so awezi.

😅🚮🚮 ni kibu mdogo. ana missing nyingi na makengeza kwenye mechi nzuri kwake. mara kaanguka

3. Mzize was never a good player. sema energetic players. akupi kipya other than unnecessarily movements . ila sio mchezaji wa kubadilisha anything in the field. ni kibu denis mdogo, 🚮

4. Ana kifafa akiona goli kama, kibu 😂😂
O
My View: Yanga wachukue hela, huyu epileptic patient amna kitu
Ile bunduki aliyoipiga Kibu na kumfunga Diarra na yenyewe ni makengeza golini?.

Dogo Mzize ni mshambuliaji hazina kwa Taifa Stars, Ana nguvu na uwezo wa kuficha mpira, kukosa magoli wanakosa kina Mbappe na Jesus.
 
Back
Top Bottom