lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

akili inatakiwa kutumika unapokaribia goli au mwenzio akiwa kwenye nafasi umpasie. hiyo ndio akili ya mpira inayoweza kuwa inamiss.
kama akili huna. basi sio mchezaji mzuri. he should be a top schooler kwa chance ame miss in all competitions. nyingi and its pathetic.
 
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.

my views kwa mzize

1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ ni kibu kabisa statistically .

2. Mzize cant improve beyond his abilities. hiyo mentality hana. amepewa so many chances. tena at the big stage zote hewa. so awezi.

๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ ni kibu mdogo. ana missing nyingi na makengeza kwenye mechi nzuri kwake. mara kifafa

3. Mzize was never a good player. sema energetic players. akupi kipya other than unnecessarily movements . ila sio mchezaji wa kubadilisha anything in the field. ni kibu denis mdogo, ๐Ÿšฎ

4. Ana kifafa akiona goli kama, kibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

My View: Yanga wachukue hela, huyu epileptic patient amna kitu
Yanga wachukue huo mpunga mapema waache kushangaza shangaa. Yaani Mzize hana tofauti pia na Sopu.
 
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.

my views kwa mzize

1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ ni kibu kabisa statistically .

2. Mzize cant improve beyond his abilities. hiyo mentality hana. amepewa so many chances. tena at the big stage zote hewa. so awezi.

๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ ni kibu mdogo. ana missing nyingi na makengeza kwenye mechi nzuri kwake. mara kifafa

3. Mzize was never a good player. sema energetic players. akupi kipya other than unnecessarily movements . ila sio mchezaji wa kubadilisha anything in the field. ni kibu denis mdogo, ๐Ÿšฎ

4. Ana kifafa akiona goli kama, kibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

My View: Yanga wachukue hela, huyu epileptic patient amna kitu
Ni wivu tu
 
for sure, right time at a right place doing a right thing at minium capacity .
wewe unachukuliaje mchezaji amekokota mpira umefika hadi ndani ya eneo la penati, halafu anapiga kwa haraka unatoka nje au anapiga shuti dogo, badala ya either kulenga kama anaona possibility ya kufunga, au kama hakuna possibility ya kufunga azuge kidogo apate penati, au atoe pasi. wao wakikaribia goli tu ni shuti bila kufikiria hayo. chama ni mfano mzuri wa watu wanaotumia akili, na pacome.
 
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.

my views kwa mzize

1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ ni kibu kabisa statistically .

2. Mzize cant improve beyond his abilities. hiyo mentality hana. amepewa so many chances. tena at the big stage zote hewa. so awezi.

๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ ni kibu mdogo. ana missing nyingi na makengeza kwenye mechi nzuri kwake. mara kifafa

3. Mzize was never a good player. sema energetic players. akupi kipya other than unnecessarily movements . ila sio mchezaji wa kubadilisha anything in the field. ni kibu denis mdogo, ๐Ÿšฎ

4. Ana kifafa akiona goli kama, kibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

My View: Yanga wachukue hela, huyu epileptic patient amna kitu
Ana miaka 19,bado anamda wa kujifunza.
Namfanisha na Mwaikimba(akikua)
 
Mzinze ana bidii kama Kibu Denis lakini wote wawili hawana kipaji.

Hamish Tobias Gaga au Gagarino R.I.P aliwahi kusema Mpira ni kama baiskeli, ukiujuwa unaujuwa tu, hakuna mtu anasahau kuendesha baiskeli.

Tunapoongelea wadhambuliaji wenye vipaji tunaongelea watu kama Saido Mwamba Kizota (Magoli)

Leo Yanga midfielder ndio anaongoza Kwa kufunga magoli, bado mbadala wa Mayele hajapatikana.
 
kama akili huna. basi sio mchezaji mzuri. he should be a top schooler kwa chance ame miss in all competitions. nyingi and its pathetic.
Ungekua na akili ungeweza kutofautisha kati ya scorer na schooler
 
Back
Top Bottom