lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

JamesMd

Member
May 2, 2023
81
146
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.

my views kwa mzize

1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. 🚮🚮 ni kibu kabisa statistically .

2. Mzize cant improve beyond his abilities. hiyo mentality hana. amepewa so many chances. tena at the big stage zote hewa. so awezi.

😅🚮🚮 ni kibu mdogo. ana missing nyingi na makengeza kwenye mechi nzuri kwake. mara kaanguka

3. Mzize was never a good player. sema energetic players. akupi kipya other than unnecessarily movements . ila sio mchezaji wa kubadilisha anything in the field. ni kibu denis mdogo, 🚮

4. Ana kifafa akiona goli kama, kibu 😂😂

My View: Yanga wachukue hela, huyu epileptic patient amna kitu
 
MZIZE aheshimiwe.

Bado anatafuta uzoefu...ametoka kwenye BODABODA hadi kuwa striker wa Young African.
Dogo MZIZE anajua boli sana...Mayele, musonda na mastriker wengi mara nyingi huwa wameputa kwenye vilabu kadhaa tena vikubwa.

Ila...Mwamba Mzize...yeye ameingia Young African moja kwa moja akitokea kijiwe cha Bodaboda.
 
i respect him for this. mad respect ila hapa ni mpira sio life story. amna huruma
MZIZE aheshimiwe.

Bado anatafuta uzoefu...ametoka kwenye BODABODA hadi kuwa striker wa Young African.
Dogo MZIZE anajua boli sana...Mayele, musonda na mastriker wengi mara nyingi huwa wameputa kwenye vilabu kadhaa tena vikubwa.

Ila...Mwamba Mzize...yeye ameingia Young African moja kwa moja akitokea kijiwe cha Bodaboda.
 
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.

my views kwa mzize

1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. 🚮🚮 ni kibu kabisa statistically .

2. Mzize cant improve beyond his abilities. hiyo mentality hana. amepewa so many chances. tena at the big stage zote hewa. so awezi.

😅🚮🚮 ni kibu mdogo. ana missing nyingi na makengeza kwenye mechi nzuri kwake. mara kifafa

3. Mzize was never a good player. sema energetic players. akupi kipya other than unnecessarily movements . ila sio mchezaji wa kubadilisha anything in the field. ni kibu denis mdogo, 🚮

4. Ana kifafa akiona goli kama, kibu 😂😂

My View: Yanga wachukue hela, huyu epileptic patient amna kitu
wote, mzize na kibu sio wachezaji mahiri ila wana bahati. ni wale watu hawatumii akili, wanatumia nguvu. period.
 
Back
Top Bottom