Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kuna nafasi zimesha tizimiza siku 60 leo. bila ya kuitwa kufanya usahili hii sekta inahitaji nayo iajiri wafanyakaz kam 50+ maana ishashindwaa kuchakata Data kwa haraka
Hilo nalo ni jambo la msingi mno ninavyojua kwenye writen ingekuwa inachukua mda sababu kusahisha mitihani na number ya watu kuwa kubwa ila ndiyo inatumia muda mchace mno kuliko oral yenye watu wachache na ana kwa ana
 
Hii ajira ya Must ni yakimchongo. Kam vile hawashirikiani na UTUMISHI.
Kaz zimetangazaa June leo watu wanaitwa kazini.
wakat wengune Kaz zetu za April za Utumishi mpk leo hatuoni Update yeyote
picha linaanza matokeo yametoka kwa waliofaulu tu.
walikuwa sita.
matokeo hayakupostiwa kwa website ya utumishi kama ilivyo ada.
Hii ajira kwa asilimia kubwa ilikuwa ni ya kimchongo.
 
Back
Top Bottom