Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii ndio inaitwa kuokoa muda sio interview manafanya alafu majina kutok sasa ni bora wange toa majina ukajua kimoja ata ukiambiwa kureport ni 2030 fresh ila ushajua kimoj
Yaani, wamefanya Chap mnoo, yaani ndani ya siku 40 wamefanya mambo ma3. wametangaza ajira, wameita watu interview na sasa wameitwa kazini.
 
ndio ile kauli ya utajua ujui
Ila UTUMISHI cjui wanachakata nini muda wote kama matokeo ya Oral yapo c bora watupe PDF yetu.
mbona majibu ya Written huwa yanatoka chap
Au kuna vitu gani huwa wanazingatia, labda sitakuwa sina ufahamu vizuri??
 
Back
Top Bottom