Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

engineerafrican

New Member
Feb 3, 2021
3
4
Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili.

Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia,

Ila kiukweli mfumo Bado unahitaji kuimarishwa kama kweli wamekusudia kupunguza ukali wa maisha kwa watanzania kwa kuwaondole gharama na usumbufu wa kusafiri kutoka mikoani kwenda Dodoma ama Dar kwa ajili ya usail
Wapi panapo hitajika kuboreshwa maana mfumo inakuwa kama inaupendeleo kwa watu Wachache especially wale wanapaswa fanya mitihani miwili written na oral.

Na kuwa Tenga wale wenye mitihani mitatu written, practical na oral kwa upande wa hawa ndugu kweli hakuna kilichofanyika kwa ajili ya kufanya na wao kuokoa gharama kwa kutosafiri kwa hulazimika mara baada ya kufauli written hulazimika Tena kusafiri kwenda dar ama Dodoma kuendelea na usaili mwingine.

Hii Imekuwa kama kwakandamiza wao kwani gharama bado zitakuwa pale pale maana watalamika kukaa Dodoma ama Dar es salaam kwa zaidi ya siku Moja kwa ajili ya saili zinazofuata pas na kuwa na uhakika pengine hata ya kufika oral.

Nini kifanyike kwa ajili ya Hawa ndugu wenye usaili zaidi mbili.

1. Utumishi waandalie mazingira mazuri ya kufanya mitihani wa written na practical wakiwa ndani ya wiliya ama mikoa Wanazofanyia usaili.

Kwa mfano kwenye system pawa panauwezo wa kumfanya mtahiniwa awe na uwezo wa kuupload(save) kazi ya practical aliyoifanya.

2. Ama mfumo uwe na uwezo wa ku upload matokeo practical baada ya masimazi kusahihisha mitihani ya practical wakiwa mikoani na waende Dodoma ama Dar es salaam kwa ajili ya oral kama wasailiwa wengine.

3. Kama vyote juu vikishindikana ili kuokoa gharama wasaili wote wanaofanya practical wakilazimika kufanya Dar es salaam ama Dodoma bas mara baada ya kufaulu mtihani wao wa praticle ambayo ndio imebeba uhalisia wa kazi zao basi wapangiwe vituo vya kazi pasi na oral interview.

4. Maoni ya wadau wengine tunakaribisha
 
Kazi ya udereva au ufundi unawezaje kumpa practical bila kumuona? Maana ya practical unaijua?
Tunachozungumzia ni kuokoa gharama wale wa praticle tunasema waendelee kufanya mara baada ya kufaulu written yao ila wafanyie ndani ya mkoa yao huku wakendelea simamiwa kama kawaida na wahisika mara baada ya hapo ndio aweze kwenda dodoma kwa mahojiano..
 
Wenye kazi na mishahara wanakaa wakisubiri wasio na kazi wala mishahara wawafuate kufanya interview 😀
 
Tunachozungumzia ni kuokoa gharama wale wa praticle tunasema waendelee kufanya mara baada ya kufaulu written yao ila wafanyie ndani ya mkoa yao huku wakendelea simamiwa kama kawaida na wahisika mara baada ya hapo ndio aweze kwenda dodoma kwa mahojiano..
Kazi ya udereva huwezi kusema eti kila mtu afanyie practical mkoa wake utaanzisha mianya ya upendeleo practical ya udereva ni ngumu sana ukitaka kujua siku ukisikia kuna interview Veta Buza pale nenda kaangalie watu wazima wanavyotoa machozi
 
Hii inawezekana kufanyika. Nimesoma degree bila ya kwenda darasani hata siku moja, na ilikuwa inahusisha lab sessions (virtual), exams, tests, assignments. Zote nimefanya kwa online proctored. It is possible na iko efficient.
 
Back
Top Bottom