Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

Joseph Gadiel

JF-Expert Member
Dec 23, 2022
380
637
Wakuu habari,

Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu?

Natanguliza shukrani
 
Kwenye practicals nilishawahi kufanya mambo ya penetration test, Je hata huko pia yapo?
 
Kapambaneni mie nilifanya kada nyingine niliweza kufika mpk oral ila bado apeche alolo mpk sasa jobless mie
 
Back
Top Bottom