Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

Wakati tunakuwa zilikuwepo pia gari za kirusi "lada"
Ova
Hizo gari zilizokuwa zikitumiwa kwenye rada na vikosi vya mizinga vya Jwtz ni 'crazy' na 'zeal' ni magari yana nguvu na ni imara sana kwa kweli, tatizo ni ukosefu wa spare parts ndiyo ulifanya yakafa mapema zama zile.

Ukosefu wa vipuri nadhani huwa ni mkakati maalumu unaofaidisha genge la watu kwa maslahi binafsi.

Hizo brand naziona bado zipo na zinatumika kwenye vita vyao na Ukraine.
 
Land-rover ubunifu hawana .Mfano polisi walikuwa na Land-rover speed yake.mwisho 180 mwisho .Toyota zinaingia spidi 240 hivi wewe hata kwa akili ya kawaida jbaxi lina Toyota spidi 240 wewe polisi una ka Land-rover spidii 180 utamkuta huyo mhalifu mwenye Toyota spidi 240? Pia zina uwezo wa kukata mbuga mbio sana kwenye rough road na jangwani kusiko na barabara kwenye mchanga mtupu ndio maana hata nchi za kiarabu Toyota zina soko sana au tope .Land-rover maeneo hayo ni mwendo wa kinyonga hata ikipita
Land-rover hazina shape nzuri na comfortabity ndani zimekaa kama gari za mkulima wa porini huko

Pili Toyota bei zake ,na spares everywhere na wako fast ku provide .Land-rover wamiliki wengi binafsi ziko kwenye mawe.

Kanunue na wewe Land-rover

Lakini pia angalia watu binafsi magari wanayomilili.madpgo mfano Tanzania asilimia zaidi ya tisini na tano ni Toyota wao nao utawaambiaje wamehongwa au washamba au 10% hixo Toyota zote za binafsi unaxiona barabarani wanambelea hadi.maaskofu?
 
Nissan, Landrover na yale ya Korea
Ya Korea yalikuwepo watu binafsi walijaribu hawana hamu nayo waliacha kulikuwa na KIA mengine yanaitwa SsangYong. Wapi yale si kwa ajili ya barabara zetu yote yaliishia kwenye mawe
 
Land-rover ubunifu hawana .Mfano polisi walikuwa na Land-rover speed yake.mwisho 180 mwisho .Toyota zinaingia spidi 240 hivi wewe hata kwa akili ya kawaida jbaxi lina Toyota spidi 240 wewe polisi una ka Land-rover spidii 180 utamkuta huyo mhalifu mwenye Toyota spidi 240? Pia zina uwezo wa kukata mbuga mbio sana kwenye rough road na jangwani kusiko na barabara kwenye mchanga mtupu ndio maana hata nchi za kiarabu Toyota zina soko sana au tope .Land-rover maeneo hayo ni mwendo wa kinyonga hata ikipita
Land-rover hazina shape nzuri na comfortabity ndani zimekaa kama gari za mkulima wa porini huko

Pili Toyota bei zake ,na spares everywhere na wako fast ku provide .Land-rover wamiliki wengi binafsi ziko kwenye mawe.

Kanunue na wewe Land-rover

Lakini pia angalia watu binafsi magari wanayomilili.madpgo mfano Tanzania asilimia zaidi ya tisini na tano ni Toyota wao nao utawaambiaje wamehongwa au washamba au 10% hixo Toyota zote za binafsi unaxiona barabarani wanambelea hadi.maaskofu?
Hapo kwenye speed ndugu umezingua. toyota lc hardtopna pickup na diffender hazipishani, na deffender yuko good sana kwenye barabara mbovu. Shida ilikuwa moja tu reliability na spare. 2015 landrover ndio waka stop uzalishaji wake na support, Version waliokuja kutoa ya 2022 ime focus kwenye luxury zaid ( japo wanadai ina ubora ule ule) lakin kwa mazingira ya africa italeta shida.
Landrover wenyewe walirudi nyuma na kumuachia toyota soko.

Now toyota lc new model zina nini? Ukiachilia mbali luxury edition kama akina V series.
J70,J79 models zake kwa 2023 zinakuja mpaka na engine siza ya cc3000 mpaka 2500c with turbo included. Kuna feature nyingi ame add but chasisi ni ile ile
 
Toyota sio poa kabisa. Hata Isis wanazikubali. Ngoma inafungwa mtutu inatembea tu kqenyw desert.
UN wenyewe wana fleet za gari za toyota. Uingereza anaunda magari ila gari za misaada alizowapatia ukraine kwenye vita ni customized landcruiser toyota.
Toyota ndizo zinaweza shughuli ngumu haya mengine mbwembwe tu.
 
Ni kweli kabisa, muingereza angeweza ku develop deffender model kuwa bora zaidi lakini aka stop, na hapo ndipo ali chemsha, ni kama kamuachia toyota soko lote la rugged suv. Kuna kampuni inaitwa ineos naona wanachukua pale landrover walipo paacha lakin sasa itachukua muda kuja kuaminika tena
 
Kampuni aliuza kwa mhindi TATA so ni mwendo wa luxury SUVs
 
Back
Top Bottom