DOKEZO Magari ya Serikali kufichwa na kutelekezwa mitaani ni wizi wazi wazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,436
8,255
Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba.

Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali iwajibike hapa
 
Hii nchi unaweza kufa kwa presha sababu ya ujinga na mambo km haya..
Acha nitafute ugali wangu mie.
 
Hivi vitu ndo vinatengeneza visasi, mtu na yeye akipata nafasi anakula zaidi ya anachostahili
 
Unachotakiwa kusema ni "hamadi cha kuokota si cha wizi" unamshukuru mwenyezi Mungu kisha unalichukua, siku zote Mungu ana kusudi lake.
 
Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba.

Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali iwajibike hapa
View attachment 2586963
Nenda pale kawe kuna msiki 1 uwa unalaza magali kuna magali ya serikali jamaa wanatumia kufanya sitarehe zao kisha waleta kupaki tu shamba la bibi
 
Back
Top Bottom