Kwanini haya Maswali Mawili hadi hii leo pamoja na Dunia kuwa na Wasomi wengi lakini hakuna bado aliyetoa Jawabu sahihi? Yana ugumu gani Kujibika?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,115
110,505
Swali #1.

Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?

Swali #2.

Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?

Nimeambiwa kuwa hapa JamiiForums ni Home of Great Thinkers ( Werevu ) leo GENTAMYCINE naamini Nitaelimishwa.
 
Swali na #2,Kati ya kuku na Yai,jiulize mwenyewe kati ya Binadamu na Mbegu za kiume kipi kilianza?
🙆

#1 ni ujinga
 
Mimi pia nasubiri kuelimishwa na ma great thinkers wa JF, ngoja waje 🤒
Leo Kazi ipo Mkuu ngoja tuwasubirie. Halafu Bujibuji Simba Nyamaume kuna Demu mpya katika ile Baa yetu tunayopenda Kukaa Kugombania Mabaa Medi wakali wakali ( Warembo Tukuka ) kuliko hata Mademu / Wake zetu kutoka Singida na Kondoa ( Dodoma ) tafadhali kuna Mmoja nasikia ana Moto ( Dally Kimoko ) sasa Rafiki yangu kama umeshaingia hapo anza kabisa Kuugawa huo Urithi wa Utajiri wako ulionao kwa Watoto na Mkeo nae yule Mrembo usimsahau sawa? Niko ugenini huku nchi ya Watu hapa Afrika Mashariki, lakini Taarifa zote za Machimbo yetu Wahuni na Masela wa Dar es Salaa nazipata.
 
Swali #1.

Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?
Mwanamke ana Nerve ending nyingi sana Kwenye Clitoris Na vagina Kuliko Zilivyo kwa Mwanaume So i think Jibu la swali hili unepata..

Through clitoris Mwanamke anacontain high concentration of nerve endings na anatomically inakuwa considered the most sensitive part of the human body, with thousands of nerve endings ambayo ndo Inakuwa na pleasure Sana..
So kwa conclusion mwanamke hupata Raha zaidi kuliko mwanaume

The More Nerves You have the more sensitive you get
Swali #2.

Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?

Nimeambiwa kuwa hapa JamiiForums ni Home of Great Thinkers ( Werevu ) leo GENTAMYCINE naamini Nitaelimishwa.
Swali la pili sio Science ila ni Philosophy japo unaweza ukajibu kwa Science in Evolutionaly bases kuhus Predator na Birds Ancestors

Jibu ni simple tu..

Yai Ili liweze kuangulia/Kutotolewa Linahitaji joto Na lazima Parent birds wawepo.kulipa Joto so Lazima Alieanza ni Kuku ndo likafuta yai
 
Back
Top Bottom