Kwanini haya Maswali Mawili hadi hii leo pamoja na Dunia kuwa na Wasomi wengi lakini hakuna bado aliyetoa Jawabu sahihi? Yana ugumu gani Kujibika?

Swali #1.

Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?

Swali #2.

Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?

Nimeambiwa kuwa hapa JamiiForums ni Home of Great Thinkers ( Werevu ) leo GENTAMYCINE naamini Nitaelimishwa.
Ukishajua kwamba mwanamke anasikia raha kuliko mwanaume inamaanisha utaenda kukigawa gawa hovyo hicho kijicho.

Chunga sana ,machoko walianza hivi hivi.
 
Swali #1.

Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?

Swali #2.

Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?

Nimeambiwa kuwa hapa JamiiForums ni Home of Great Thinkers ( Werevu ) leo GENTAMYCINE naamini Nitaelimishwa.
Mi nilikuwa naelewa wewe ni msomi mwenye masters zake, mbona umeuliza maswali yasiyostahili majibu, af ni ya ki$3nge?
Au umedekuliwa?
 
Wewe mbona una Phd / Doctorate but you're still a damn Fool na hujishangai?
 
Swali #1.

Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?

Swali #2.

Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?

Nimeambiwa kuwa hapa JamiiForums ni Home of Great Thinkers ( Werevu ) leo GENTAMYCINE naamini Nitaelimishwa.
1 hakuna kipimo duniani kina pima utamu/ feelings. so until then hakuna atakajua until kuna kipimo na unit ya kipimo iko established

2 sijui hili jibi but najua anae weza kujibu
 
Kumbe mlikuwa mapunga wewe na baba yako.

Leo utasema yote leo.

Kwa hiyo umekuja huku kutafuta wa kukukaza au sio?
Nasisitiza tena Kwako kuwa huu Upunga wangu unaoniona nao nimejifunza kwa Punga Mkuu wetu ambaye ni Baba yako.
 
Kuna siku nikawa napiga story na dada mmoja hivi,anasema ule utamu ungezidi kwa dakika moja basi watu kila siku wangefanya kupepeana,maana kila mkojo unazimia😃
 
Swali #1.

Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?

Swali #2.

Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?

Nimeambiwa kuwa hapa JamiiForums ni Home of Great Thinkers ( Werevu ) leo GENTAMYCINE naamini Nitaelimishwa.
Swali la 2 ni sawa na kuuliza kati ya hedhi na mwanamke kipi kilitangulia.

Swali la kwanza, kila mmoja ana kiwango chake cha kufurahia ngono. Nadhani kila mmoja anafurahia kwa kiwango chake, lasting ndio tunatofautiana.
 
Back
Top Bottom