SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,352
- 6,982
Soma tena ulichoandika.60% za content zilizopo kwenye internet zipo in English,
So waweza jua maarifa mengi yapo kwa lugha gani
Maarifa hayapo kwenye Lugha.
Wale wa Timbuktu walijua vipi kuhusu utambuzi wa sayari? Walikuwa wanajua Kiingereza?
Ukienda kwa wa Aztec au Waborijino wa New Zealand n.k ambao walikuwa na maarifa mengi hata ya nyoka gani ana sumu gani na jinsi ya kupata antidote kwa sumu zao.... walikuwa wanajua kiingereza? Walioata maarifa kwa Kiingereza.
Itoshe, hata mchina mrusi au mtanzania akitaka kupata maarifa anaweza kupata kwa lugha yake.
Unataka kusema wewe hauna maarifa na akili kwa sababu hujui Kichina?